mtaa umetulea
JF-Expert Member
- Nov 17, 2020
- 1,840
- 2,381
Wanazo mkuu lakn hela za motto vibaya watawapigia simu ndugu zako na sms watasambaza kwa phone book yako yote ni aibu mm niliwapiga kama kampun 7 lakn ni aibuKwani hawani app niwapige nina nida ya uongo
Kibongo bongo mpaka ije kujulikana umeua bila kukusudia ushakaa jela 15yrs..so kuteseka kuko pale pale.Hakuna Kesi hapa wameua bila kukusudia.
Duh noma😊😊😃Zinakuja ist 20 .kudai rejesho la 124,000
450k per week lazm uwe mwehu ni biashara gan inakupa faida hiyo..4m RIBA 1,440,000
Ukipewa 4m maombi ya Mkopo ni 200k hivyo hela unayopewa ni 3.8m
Unapotudsha jumla rejesho na deni urudshe 5,440,000.
Rejesho ni kwa wiki 450k kila wiki usiipitishe, siku wala saaa.
Hivi rejesho la Wiki si kutafutia watu waongee wenyewe.
Mkopo ni wa miezi mi 3 tu... hao ndio OYA/HOPE MICROFINANCE.
Msijichanganye
Mwanzo wa mwisho wa hii Kampuni. Nadhani ni yabkina Makamba?
Hii ni noma.4m RIBA 1,440,000
Ukipewa 4m maombi ya Mkopo ni 200k hivyo hela unayopewa ni 3.8m
Unapotudsha jumla rejesho na deni urudshe 5,440,000.
Rejesho ni kwa wiki 450k kila wiki usiipitishe, siku wala saaa.
Hivi rejesho la Wiki si kutafutia watu waongee wenyewe.
Mkopo ni wa miezi mi 3 tu... hao ndio OYA/HOPE MICROFINANCE.
Msijichanganye
OYA ni moja ya mipango ya PPP!!Anae daiwa mipango imefeli utafanyaje kama hujamuachia maagizo mtu
Shida selikari tukopesheni mikopo nafuu Kisha fungieni tasisi za mikopo binafsi
Aisee!kampuni ya mdogo wake marope. atawatoa kesi itafutwa.
Marope n nanikampuni ya mdogo wake marope. atawatoa kesi itafutwa.
Ndio dawaHuku kwetu Mnazi Mmoja wamama walijikusanya wakawadunda vibaya sana hao OYA .. Unaambiwa jamaa wa OYA walitoka mbio mpaka mpakasahau gari lao..
Serikali iache kupiga ikuangakie wewe. Serikali inachokiangalia ni chadema tuAnae daiwa mipango imefeli utafanyaje kama hujamuachia maagizo mtu
Shida selikari tukopesheni mikopo nafuu Kisha fungieni tasisi za mikopo binafsi
Hatari sana.Makamba
Wananoma sana hao hata kama unafence wanarukaAise,nasikia hao OYA wanadai balaa
Ova