Pwani: Wafanyakazi wa kampuni ya mikopo ya OYA, mbaroni kwa tuhuma za mauaji

Wakopeshaji wameshindwa kufuata taratibu za madai, mwisho wa siku jinai imewandondokea, mbona kazi wanayo, zigo la jinai si jepesi kihivyo hata kama una pesa!!
 
Mkuu vipi ishawahi kukukuta!?
Umri huu nilionao wa miaka 30+ nimeona Na nimejifunza mengi sana ya Dunia, nimepitia mengi kuliko hata hao wanaojiita wazee, kuna nyakati Huwa naamua kukaa peke yangu Na kucheka tu, hasa ninapomuona mwanadamu anamfanyia mwenzie ubaya, au roho mbaya, , kaka haya maisha ni mafupi sana, tupendane.
 
Aiseee , mke wako akijitumbukiza huko umekwisha kwa hali hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…