Q-Net na Forever Living zimenipotezea marafiki zangu wa karibu

GuDume naomba niunganishe hao mademu wawili wa mwishomwisho ili nijifanye najiunga nao...lengo ni kuwagongea mbali
 
siri ya mafanikio hipo akilini mwako si kuambiwa wala kushikiwa
 
Woii, Weekend ilopita tu m/city nimejichokea ile mbaya akaja mdada kavaa vizurii ananukia,ananiambia habari zake za semina kuanngalia tshirt imeandikwa FL afu ansema mm baba angu aliumwa cancer akapona,Yani jinsi nimechoka nilimuangalia tu.
[emoji2] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Sisi wajumbe wa UVCCM tunawatakia asbuh njemaa. Hahahaaaaa nahamu ya kutukanwa
Sikutukani. Ila nimecheka sana! Maana ulichoandika ni nje kabisa ya mada. But all in all, JF is never boring!
 
Hivi kwanini watu wanakatwa sana kwenye huu mtego wa QNET?
 
Hizo mambo za network lazima uliwe wanaofanikiwa ni wachache kama mpo buku Basi watatu ndio wanafanikiwa
 
Kuna jamaa yangu ni askari magereza, kila tukikaa kwenye vikao vya 'viti virefu' huwa haachi kugumia maumivu ya kupigwa 6 Mil za Qnet.... Wasiwasi wangu nadhani ipo siku atamfyatulia risasi mtu wa Qnet aliyemuunganisha.[emoji23]
Hivi ina maana hao QNET wana kauchawi? Kuna jamaa kanialika niende QNET nataka niende then nimwambie jamaa angu umepigwa
 
Nina jamaa yangu daily haishi kunishawishi nijiunge na Qnet. Nishahudhuria hadi seminar zao lakini sikuwa na mpango wa kujiunga.
Nami nataka kuhudhuria jamaa angu kakomaa sana na Mie.Nataka niende then nimwambie jamaa angu umeliwa
 
Hatari sana, ndio maana kila siku unaulizia bagia. 2005 mimi nilikuwa form two yaani hutakiwi hata kuniita dada niite tu mamdogo
[emoji1][emoji1][emoji1]

Swalehe anakusalmia mamdogo
 
Kuna demu mmoja namuangalia tu alafu nacheka hiiiiihi, ananishawishi mno mtandaoni nijiunge na vikampuni vyao vya mtandaoni anajifanya yupo US kumbe ypo hapa bongo mana mji anaonambia yupo nikimuuliza saa ngapi anajibu uongo nikimuuliza Mr google wanatofautiana kabisa. Sasa ngoja ntamtaftia mbinu zangu shubaamit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…