Q-Net na Forever Living zimenipotezea marafiki zangu wa karibu

Nipe mawasiliano yake mkuu ...

Sisi ndo tunaweza kumtapeli , tukamgeuzia mchezo
 
Hahaa umenikumbusha kifurushi Cha gold 4.7 we acha tu nashukuru nilijifunza ujasiri ktk maisha
 
Hahaa umenikumbusha kifurushi Cha gold 4.7 we acha tu nashukuru nilijifunza ujasiri ktk maisha
 
Kuna jamaa yangu mmoja ni classmate aliwahi nipigia simu kwa fujo na huwa hatuna mazoea ya kuwasiliana nae,alinielezea huu upuuzi wa forever living ushawishi mwingi.
Mara oooh nitafutie watu huko ulipo niliona ni upumbavu wala sikutilia maanani na wala sitaki fedha za bure mimi.
Vijana jihadharini na hawa matapeli
 
Kuna dem nlikuwa nakula chuo..jana kanipigia simu tuonane nkajua mtoto atakuwa kamisi mchezo maana si kwa kudeka kule. Nmfika hapo naskia "business partners" mara blah blah mingi...mara Qnet.. ah...aiseeh...!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimevumilia kutukana ofisi nzima ya qnet baada ya kuniita kilaghai kuniambia upuuzi huo. Kilichosaidia miongoni mwao kuna mtu tunaheshimiana. reception wanedanganyishia mapicha ya maghorofa ukutani unadhani ni ofisi ya waandisi majengo.
Hiyo ilikuwa wapi kiongozi?
 
Sasa hivi kuna ingine inaitwa mellius,jamaa kanifata dm IG nikamwambia siko interested,akarudi na stori zingine hlf akachomekea tena,nikamwambia siko interested,akachukia akaanza kuleta kejeli nikampa block tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa alinitusi kuwa utakuwa maskini.Nikasema sawa,hiyo Sentensi uniambie siku ukiwa tajiri Kwa ajiri ya hiyo biashara.mpaka Leo hajanifuata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…