Qatar ilipata utajiri kutokana na gesi. Kwanini Tanzania ilizuia miradi ya gesi?

Haikufaa Tanzanite kutuinua kiuchumi,itakuwa gesi?Ni wapi Duniani Tanzanite inapatikana zaidi ya Tanzania?
Kama haitoshi tuna Ng'ombe kibao lakini tunaagiza jozi za viatu kwa wasio na Ng'ombe!
"Haikufaa rangi,itafaa chokaa Mkuu"
Mwacheni Jiwe apumzike jamani,tumechoka na propaganda uchwara dhidi yake!
 
Kwa hivo hana kosa na hatakiwi kulaumiwa sababu wengine walifanya hivyo?
 
Maamuzi ya uwekezaji upi ufanyike na upi usubiri hutokana na mambo mengi ikiwemo vyanzo vya fedha.

Ukifuatilia bajeti za JMT tangu utambulisho wa gesi mpaka maamuzi ya awamu ya 5 ya kusitisha kwa muda hutaona sababu ya kuuliza swali hili ulilouliza.
Nimefuatilia na sababu ni kuwa Magufuli alidai gesi yetu ilishauzwa

Wewe kama unafahamu tofauti si unasema unazunguka ya nini?
 
Sina muda wa kwenda kuitisha mikutano ila misukule nyie hamuwezi lolote, ndio maana hata mwendawazimu yule alitumia jeshi kuzuia mikutano akiogopa spana..!

Lissu alikuja akamtukana sana, misukule mlimfanya nini?
Huoni aibu kutukana mtu ambae HAWEZI kukujibu
 
Mama yenu atawauza kwa Waarabu na wanavyopenda taarab,pumbavu hawana maana kabisa
 
Tunakupa miaka mingine kumi. Una nafasi ya kurekebisha unachoona alikosea. Au tukupe ishirini kabisa😅 kuongea ni rahisi
 
Unalizwa na mistress yako tu, acha kumsingizia Magufuli.
Nenda kawaone wataalam wakusaidie kupunguza stress, utajiongezea siku za kuishi.
Rip JPM
 
Woooi,wooi kijana wangu,kabla hujamlaumu huyo uliyemtaja,umechungulia vizuri huko nyuma? Una uhakika hivyo visima vya gesi vilikuwa vyetu? wooi wooi kijana wangu hivi unajua hata Angola, Nigeria Wana mafuta lakini wanapanga foleni kwenye vituo vya mafuta kwa uhaba wa mafuta na Bei zikiwa juu kushinda hata tusio na kisima hata kimoja! na huku nchi zao zikiuza nje mafuta kwa mamilioni ya mapipa! Tatizo sio nchi zao Ila Tatizo waligawa rasilimali zao zikawa sio zao ingawa zinapatikana kwao.
Kwa Hali hiyo tatizo halikuwa unae mtaja chungulia vizuri nyuma kijana. Sina uhakika Kama ulikuwepo wakati brother Muhongo anatutambia watanzania tuachane na ndoto za kumiliki visima vya gesi Ila tujikite kumiliki biashara za njugu! Eti hatuna mitaji,Mimi nilimuuliza kwani hao aliokuwa anawatetea huwa wanakuja na pesa zao mfukoni au na wao wanakopa? Baba we acha wajumbe so watu. Chungulia huko nyuma hakika utaliondoa hili bandiko lako.
 
Unasema hastahili kulaumiwa
Nasema lawama kwa JP na raisi yoyote mstaafu kufanya maamuzi kwa kufuata sera za chama chake hazina maana.
Ungekuja na hoja kuwa kutokuwa na sera/mpango kazi wa taifa ambao kila kiongozi anayeingia madarakani anausimamia kisha ukatumia mifano ya miradi iliyoachwa sababu ya kutokuwa na huo mfumo hapo ungekuwa umeleta mjadala wa maana.
 
Mleta mada kafungua mwaka na upuuzi mwingine kama kawaida yake.
 
Population yao hawafiki hata 3m na bado wao walikuwa na mafuta

Tuwaache hao waarabu wanajielewa hebu angalia sisi kama Nigeria na Angola na Ug
Waarabu wanaingia mikataba ya kufaidisha nchi yao na wananchi wao

Saudia kuna wakati walitaka kurudi kwenye tende baada ya wazungu kuzingua miaka ileee
 
Umiliki wa visima vya gas na migodi ya madini una tofauti gani Sasa? Kwa msingi huo hakuna Cha kwenu.
 
Uko sahihi 100%
 
Afu kuna huyu mwamba:

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…