Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Tuwape wachina?Hakuna rasilimali itakuja kuisaidia hii nchi kama kuichimba na kuichakata itafanywa na mabeberu. Hakuna
Mimi ndio mfanya maamuzi?Wewe makosa ni watanzania wajinga wakiongozwa na wewe
Yule bwana ukiacha kwamba alikuwa mtu wa mihemko Ila kwa sehemu kubwa hakuwa na akili na exposure ya Uchumi na biashara..
Ni ajabu Sana kina Kikwete waliacha Nchi ikaongozwa na bwana yule wakati wakijua historia yake sio mtu mzuri yaani Ni mtu wa kusimamiwa sio kujisimamia au kusimamia wengine..
Hata miradi aliyoiasisi ukiacha timing mbovu na mechanism aliyoitumia kuanza kuitekeleza Ila mingi ya hiyo miradi Ni tembo mweupe.Mda utasema.
Mkuu ni hata na siyo ata,kwa hiyo zile kampuni za ulaya tuluzochonga Nazo juzi hiyo gesi watapeleka Asia kwa kuwa karibu na si ulaya mbali!?Walisema kabla ya December kuisha watakuwa wameshamaliza majadiliano ya mkataba wa gas, kiko wapi.
Mama alipoingia aliamuru wamalize majadiliano ya bandari haraka na Kakoko akatolewa kwa sababu alionekana nuksi; kiko wapi.
Haya mambo ni raisi kulaumu mitandaoni tu, ila raisi akishapewa elimu na negotiators nini wanagawa wenyewe wanabaki kimya tu.
Isitoshe ata hao mabeberu wakifanikiwa hiyo gas wana mpango wa kupeleka soko la Asia, sio Europe.
Hakuna nchi ya ulaya yenye shida na gas ya Tanzania it’s too expensive to ship liquified gas. Ukijumlisha na lead time ya kupata volume capacity wanayotaka ata kwa nchi yenye GDP ndogo inventory will make that gas too expensive kwenye soko lao. .
Haya mambo ni rahisi kuropoka na kulaumu kwa watu wasio elewa how the industry work ata huyo J.K mwenyewe akutaka ku sign mkataba wa LNG baada ya kuonywa lawama za mbeleni ata akiwa kaburini, akikurupuka bila kuweka maslahi ya nchi mbele.
Mikataba alisaini na nani!?Uyo kikwet ndo alisaini mikataba ya kilaghai kwenye gas ya mtwara,
Hata Kama rizmoko ni muuza ngada,hawezi beba mwenyewe,hayo ni Madai ya watu wasiofikiri,kampuni gani ya china inachomba gesi mtwara!?Tuliuza kumtoa RIZ MOKO China kisa kukamatwa na Madawa ya kumlevya mtu
Hitler analaaniwa kila siku kwa kuwaoka wayahudi Kama mikate2023 naona bado vita na marehemu inaendelea.
Mbona kila siku wenyewe wanaelezea wanalenga soko la Asia.Mkuu ni hata na siyo ata,kwa hiyo zile kampuni za ulaya tuluzochonga Nazo juzi hiyo gesi watapeleka Asia kwa kuwa karibu na si ulaya mbali!?
Ili tuchimbe gesi tunahitaji $30bMihemko tu ...unafikria investment ya gas ni rahisi kwamba wanafanya package kweny viroba🤔🤔..
Lazima waibadili iwe liquefied gas then ndo isafirishwe na kumpeleka ulaya sio kitoto iko logistics yake gharama ni kubwa labda kuuza majirani zetu.
Huo mradi nafikiria ungekula pesa ndefu kuliko ule wa umeme ..
Tanzanite itainuaje uchumi wa nchi kubwa Kama tz!?..acheni bangi,ingesaidia Arusha na manyara kiasi Fulani,lakini ni kiduchu Sana kwa nchiHaikufaa Tanzanite kutuinua kiuchumi,itakuwa gesi?Ni wapi Duniani Tanzanite inapatikana zaidi ya Tanzania?
Kama haitoshi tuna Ng'ombe kibao lakini tunaagiza jozi za viatu kwa wasio na Ng'ombe!
"Haikufaa rangi,itafaa chokaa Mkuu"
Mwacheni Jiwe apumzike jamani,tumechoka na propaganda uchwara dhidi yake!
Ile ya marekani vipi!?..maana nilisikia wakilima jamaa katake advantage anawapiga parefu kuliko uhalisia..ukweli ni kwamba wazungu wanataka vyanzo vingine vya gesi tofauti na Russia,na haitotoka ulaya,hata trip za mama ukiacha kivuli Cha royal tour,nyuma ya pazia palikua na gesi ya LindiMbona kila siku wenyewe wanaelezea wanalenga soko la Asia.
Mozambique wamepeleka meli juzi Italy but hiyo ni kutokana na mazingira ya vita, otherwise ni very expensive ku import gas kutoka nchi yeyote kwao nje ya Russia.
Shirika letu la gesi Lina hisa kwenye gesi ya mtwaraUyo kikwet ndo alisaini mikataba ya kilaghai kwenye gas ya mtwara,
Marekani na supplier wengine wanafidia shortfall za sasa kutokana na vita na sabotage za kupasua pipe.Ile ya marekani vipi!?..maana nilisikia wakilima jamaa katake advantage anawapiga parefu kuliko uhalisia..ukweli ni kwamba wazungu wanataka vyanzo vingine vya gesi tofauti na Russia,na haitotoka ulaya,hata trip za mama ukiacha kivuli Cha royal tour,nyuma ya pazia palikua na gesi ya Lindi
Mkataba gani wa madini yeyote ambao sio wa kilaghai?Uyo kikwet ndo alisaini mikataba ya kilaghai kwenye gas ya mtwara,
KinomaParefu
Hat kwenye dhahabu kabla ya Magufuli tulikuwa tumepigwa sana kwa miaka mingi! Serikali ilikuwa ikiambulia asilimia 3 pekee na asilimia 97 zilizobaki ni za hao wanaoitwa wawekezaji kwenye migodi ! Je hapo unaona hatukupigwa ??!! Magufuli alikuwa ana mapungufu yake lakini kwa mengine kama hayo alikuwa sahihi 101 % ! Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni ! Hata kwenye gesi mziki ni huo huo tu !!Leo hii Tanzania tungekuwa tunauza gesi yetu Ulaya kwa bei ya juuu baada ya Urusi kususiwa.😭😭
Tazama hiyo ni nchi ya Qatar
Kabla ya kugundua gesi mwaka 2002 uchumi wao ulikuwa dola bilioni 19 tu, baada ya kugundua gesi uchumi wao leo ni dola bilioni 220.
View attachment 2465599
Hii imeniuma sana kwa kuwa Magufuli alitupa kwenye pipa la taka mradi wetu wa gesi.
Akadanganya kuwa gesi yetu imetwaliwa na mabeberu, sasa kama ilitwaliwa aliwezaje kuisimamisha?
Na kama alikuwa Waziri mwandamizi kwenye serikali ya Kikwete kwanini hakulisema hilo au hata kujiuzulu kuokoa gesi isiende kwa mabeberu?
Samia anawezaje ku negotiate mkataba ya gesi na nchi nyingine hivi sasa?