Qatar ilipata utajiri kutokana na gesi. Kwanini Tanzania ilizuia miradi ya gesi?

Qatar ilipata utajiri kutokana na gesi. Kwanini Tanzania ilizuia miradi ya gesi?

Kuna wapuuzi waliinadi kwa mabeberu kupitia chama chao na bunge la chama hicho awamu ya 4 kwa rushwa ya wazi kabisa ya bahasha za khaki!
 
Yule bwana ukiacha kwamba alikuwa mtu wa mihemko Ila kwa sehemu kubwa hakuwa na akili na exposure ya Uchumi na biashara..

Ni ajabu Sana kina Kikwete waliacha Nchi ikaongozwa na bwana yule wakati wakijua historia yake sio mtu mzuri yaani Ni mtu wa kusimamiwa sio kujisimamia au kusimamia wengine..

Hata miradi aliyoiasisi ukiacha timing mbovu na mechanism aliyoitumia kuanza kuitekeleza Ila mingi ya hiyo miradi Ni tembo mweupe.Mda utasema.

Uyo kikwet ndo alisaini mikataba ya kilaghai kwenye gas ya mtwara,
 
Walisema kabla ya December kuisha watakuwa wameshamaliza majadiliano ya mkataba wa gas, kiko wapi.

Mama alipoingia aliamuru wamalize majadiliano ya bandari haraka na Kakoko akatolewa kwa sababu alionekana nuksi; kiko wapi.

Haya mambo ni raisi kulaumu mitandaoni tu, ila raisi akishapewa elimu na negotiators nini wanagawa wenyewe wanabaki kimya tu.

Isitoshe ata hao mabeberu wakifanikiwa hiyo gas wana mpango wa kupeleka soko la Asia, sio Europe.

Hakuna nchi ya ulaya yenye shida na gas ya Tanzania it’s too expensive to ship liquified gas. Ukijumlisha na lead time ya kupata volume capacity wanayotaka ata kwa nchi yenye GDP ndogo inventory will make that gas too expensive kwenye soko lao. .

Haya mambo ni rahisi kuropoka na kulaumu kwa watu wasio elewa how the industry work ata huyo J.K mwenyewe akutaka ku sign mkataba wa LNG baada ya kuonywa lawama za mbeleni ata akiwa kaburini, akikurupuka bila kuweka maslahi ya nchi mbele.
Mkuu ni hata na siyo ata,kwa hiyo zile kampuni za ulaya tuluzochonga Nazo juzi hiyo gesi watapeleka Asia kwa kuwa karibu na si ulaya mbali!?
 
Tuliuza kumtoa RIZ MOKO China kisa kukamatwa na Madawa ya kumlevya mtu
 
Mkuu ni hata na siyo ata,kwa hiyo zile kampuni za ulaya tuluzochonga Nazo juzi hiyo gesi watapeleka Asia kwa kuwa karibu na si ulaya mbali!?
Mbona kila siku wenyewe wanaelezea wanalenga soko la Asia.

Mozambique wamepeleka meli juzi Italy but hiyo ni kutokana na mazingira ya vita, otherwise ni very expensive ku import gas kutoka nchi yeyote kwao nje ya Russia.
 
Mihemko tu ...unafikria investment ya gas ni rahisi kwamba wanafanya package kweny viroba🤔🤔..
Lazima waibadili iwe liquefied gas then ndo isafirishwe na kumpeleka ulaya sio kitoto iko logistics yake gharama ni kubwa labda kuuza majirani zetu.

Huo mradi nafikiria ungekula pesa ndefu kuliko ule wa umeme ..
Ili tuchimbe gesi tunahitaji $30b
 
Haikufaa Tanzanite kutuinua kiuchumi,itakuwa gesi?Ni wapi Duniani Tanzanite inapatikana zaidi ya Tanzania?
Kama haitoshi tuna Ng'ombe kibao lakini tunaagiza jozi za viatu kwa wasio na Ng'ombe!
"Haikufaa rangi,itafaa chokaa Mkuu"
Mwacheni Jiwe apumzike jamani,tumechoka na propaganda uchwara dhidi yake!
Tanzanite itainuaje uchumi wa nchi kubwa Kama tz!?..acheni bangi,ingesaidia Arusha na manyara kiasi Fulani,lakini ni kiduchu Sana kwa nchi
 
Mbona kila siku wenyewe wanaelezea wanalenga soko la Asia.

Mozambique wamepeleka meli juzi Italy but hiyo ni kutokana na mazingira ya vita, otherwise ni very expensive ku import gas kutoka nchi yeyote kwao nje ya Russia.
Ile ya marekani vipi!?..maana nilisikia wakilima jamaa katake advantage anawapiga parefu kuliko uhalisia..ukweli ni kwamba wazungu wanataka vyanzo vingine vya gesi tofauti na Russia,na haitotoka ulaya,hata trip za mama ukiacha kivuli Cha royal tour,nyuma ya pazia palikua na gesi ya Lindi
 
Ile ya marekani vipi!?..maana nilisikia wakilima jamaa katake advantage anawapiga parefu kuliko uhalisia..ukweli ni kwamba wazungu wanataka vyanzo vingine vya gesi tofauti na Russia,na haitotoka ulaya,hata trip za mama ukiacha kivuli Cha royal tour,nyuma ya pazia palikua na gesi ya Lindi
Marekani na supplier wengine wanafidia shortfall za sasa kutokana na vita na sabotage za kupasua pipe.

Kwanini unadhani waliipa Russia sanctions ya kutouza mafuta ghafi na mambo mengine but not gas? Ni rahisi mno kwao kupata gas nyingi in short space of time and cheaply maana inaondoa shipping costs largely.

Hao waingereza, Norway wanapotoa asilimia kubwa ya gas wanayotumia ni pua na mdomo, lakini wamejenga ma pipe ya kupeleka kutoka kwenye vyanzo vya gas mpaka U.K hakuna meli.

LNG makes it expensive na ukitoa Russia na Iran kwenye equation ya supply side ndio kabisa maana wao kwa pamoja ndio wenye reserve kubwa duniani kushinda wote waliobakia ata wakijichanga.

Kwa maana hiyo Russia na Iran wana power za kuweza shusha bei ya gas given the rules of ‘supply and demand’.

Wazungu sometimes wana misimamo ya kijinga hiyo vita inewaumiza mno, hivi tunavyoongea uchumi wa U.K. umeingia rasmi kwenye recession sababu ya vita na kutoa Russia kwenye equation ya natural resources supply.
 
Nchi za kiafrika zina mambo jambo

Mengi

Ova
 
Leo hii Tanzania tungekuwa tunauza gesi yetu Ulaya kwa bei ya juuu baada ya Urusi kususiwa.😭😭


Tazama hiyo ni nchi ya Qatar
Kabla ya kugundua gesi mwaka 2002 uchumi wao ulikuwa dola bilioni 19 tu, baada ya kugundua gesi uchumi wao leo ni dola bilioni 220.

View attachment 2465599

Hii imeniuma sana kwa kuwa Magufuli alitupa kwenye pipa la taka mradi wetu wa gesi.

Akadanganya kuwa gesi yetu imetwaliwa na mabeberu, sasa kama ilitwaliwa aliwezaje kuisimamisha?

Na kama alikuwa Waziri mwandamizi kwenye serikali ya Kikwete kwanini hakulisema hilo au hata kujiuzulu kuokoa gesi isiende kwa mabeberu?

Samia anawezaje ku negotiate mkataba ya gesi na nchi nyingine hivi sasa?
Hat kwenye dhahabu kabla ya Magufuli tulikuwa tumepigwa sana kwa miaka mingi! Serikali ilikuwa ikiambulia asilimia 3 pekee na asilimia 97 zilizobaki ni za hao wanaoitwa wawekezaji kwenye migodi ! Je hapo unaona hatukupigwa ??!! Magufuli alikuwa ana mapungufu yake lakini kwa mengine kama hayo alikuwa sahihi 101 % ! Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni ! Hata kwenye gesi mziki ni huo huo tu !!
 
Back
Top Bottom