QR Code haiwezi kuwa njia ya udhibiti wa jezi feki

Ili kufanya hicho unacho sema ni lazima uunde kurasa feki yenye kufsfafa na kurasa halisi ya kampuni husika ya bidhaa unayo taka kuitengenezea QR CODE feki
Siyo kweli. Narudia kukwambia unaweza kutengeneza QR Code ya kukupeleka page yoyote ile rasmi. Kwenye kurasa husika hauhitaji kufanya chochote kile cha kuitambua hiyo QR Code.

Pia tambua kuwa kutengeneza QR Code ya kumpeleka mtu ukurasa fulani siyo kinyume cha sheria. Ni sawa na kuandika tu URL kumwambia mtu nenda ukurasa fulani.
 
Wewe umenisoma vizuri. Angeongeza huo utaratibu wa kujisajili pia ungemsaidia mzabuni maana baadae anakuwa na database ya wanunuaji ambao anaweza kuwa anawasiliana nao moja kwa moja kupromote bidhaa zingine atakazokuja kuzitoa.

Unaposema QR Code ni 3D una maana gani?
 
solution ilikuwa ni kuwa na sehemu moja tu (website) kununua na kulimit jezi 5 per account nakuutungazia umma kwengine kote ni fake jezi izi zengine ni drama tu
 
Nimejimix nilitaka kusima in 2D mkuu not 3D wakati barcode ni 1D
 
solution ilikuwa ni kuwa na sehemu moja tu (website) kununua na kulimit jezi 5 per account nakuutungazia umma kwengine kote ni fake jezi izi zengine ni drama tu
Sahihi. Njia nyingine ndiyo hiyo, kusisitiza watu kununua katika maduka rasmi yaliyotajwa ila ndiyo hivyo kuna watu wengi wanategemea kuwa watu wa kati kuuza jezi ili wapate mlo wao sasa ukiwakata hao wote ndiyo hujma na fitna zinaanza.
 
Acha ushamba bar code ni technology ya zamani sana during colonial era. Wewe ni mshamba wa technology.

Bar codes zilitumika zamani sana zikaonekana hazina security.

Zikaja Data Matrix code Zilitumika kwenye vitambulisho vya uchaguzi vya zamani.

Sasa hivi tupo na QR Code most advanced codes.

Ndani ya hizo code unaweza fanya encryption na system moja tu inayoweza ku decrypt taarifa zilizowekwa ndani.

Wewe ni mbumbumbu usiyejua mambo.

Nenda China, Wechat, Alipay nk wanatumia QR code kwenye payment.

Bar code haiwezi kutumika kwenye payment, mpumbavu wewe. Barcode inatumika kwenye quick identification kwenye supermarket wakati unanunua vitu.

Wapi bar code imetumika kwenye payment?

Shenzi type wewe.

Acha ushamba kutuaibisha watanzania kwa umbumbumbu wako
 
Serial number ina cost gani kaka? Hakuna cost yoyote.
 
Kuzuia jezi fake hata Ulaya wamechemka cha msingi ni shabiki mwenyewe aende kwenye maduka yaliyo tangazwa na club.

Sijau kama hizi ni mpya au zile zilizovuja kama ndio zile, wabongo huwaga hawangalii QR code wala kitu gani watakacho angalia ni bei ya kitonga.
 
Kaka, kuna jezi feki zilikamatwa je ulishawahi sikia kesi yoyote? Jezi feki ni biashara ya vigogo tz kwahiyo hakuna jipya. Hayo ma QR CODE hayana msaada wowote ikiwa wezi wanajulikana na hatua hazichukuliwi?
 
Mangungu hajielewi, pili kuna godown lilikamatwa na jezi feki na hakuna aliyechukuliwa hatua hadi leo.
 
Kaka, kuna jezi feki zilikamatwa je ulishawahi sikia kesi yoyote? Jezi feki ni biashara ya vigogo tz kwahiyo hakuna jipya. Hayo ma QR CODE hayana msaada wowote ikiwa wezi wanajulikana na hatua hazichukuliwi?
Unaongea utopolo wewe. Hapa tunaongea QR Code wewe unaongelea kukamatwa kwa jezi feki.
Unataka kesi hizo utangaziwe wewe? Hapa tunaongelea International brand zipo na internatinal legal. Tueleze lini jezi za international brands zimekamatwa?

Mwaka huu hao vigogo wako watanyea ndoo The Hague
 
Hivi kumbe mtengeneza jezi nae anakuwa na chata lake kwenye jezi??
 
Sahihi. Shabiki wa kweli hatanunua jezi barabarani au vichochoroni maana uwezekano ni mkubwa kuwa ni feki. Ataenda posta au kwa huyo Vunjabei kama naye anaaminika.

Kuhusu jezi zilizovuja, ninachoona mimi majadiliano yaliyofanyika wakati wa design ya jezi ndiyo yalileta huo mwanya wa jezi kuvuja kwa hiyo nashangaa Mangungu anasema uongozi hauhusiki na kumtupia lawama zote mzabuni. Jezi zilizovuja zilikuwa na tuvituvitu ambavyo vilienda kubadilishwa kwa hiyo ni wazi ni jezi na picha walizokuwa wanatumiwa viongozi.
 
Ewe mbumbumbu wa jiji usiyejua QR Code. Kwikwikwikwikwi leo umenichekesha sana. Pole yako kwa kukumbatia upumbavu. Ewe mpumbavu tafuta maarifa uondokane na upumbavu wako uliokujaa kwenye fuvu lako.
 
Ewe mbumbumbu wa jiji usiyejua QR Code. Kwikwikwikwikwi leo umenichekesha sana. Pole yako kwa kukumbatia upumbavu. Ewe mpumbavu tafuta maarifa uondokane na upumbavu wako uliokujaa kwenye fuvu lako.
Hongera kwa kuingia rasmi katika ignore list yangu. Unajiunga na wenzako kadhaa ambao nimeshawasahau kitambo maana walishindwa kujadiliana kwa staha.
 
Nchi yetu imeendelea kiasi cha kwamba kila mteja anaweza kutumia hayo ma QR CODE?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…