QR Code haiwezi kuwa njia ya udhibiti wa jezi feki

QR Code haiwezi kuwa njia ya udhibiti wa jezi feki

Unaongea utopolo wewe. Hapa tunaongea QR Code wewe unaongelea kukamatwa kwa jezi feki.
Unataka kesi hizo utangaziwe wewe? Hapa tunaongelea International brand zipo na internatinal legal. Tueleze lini jezi za international brands zimekamatwa?

Mwaka huu hao vigogo wako watanyea ndoo The Hague
We tutusa naona hujielewi, kwa soko na uwizi wa tz hizo QR CODE sio msaada,
 
Huwezi ukaeneza upumbavu kwa watanzania tukakuacha hivi hivi. Nenda zako huko bonge la dada
Kitendo cha kucheka "Kwikwikwikwikwi" tena kuweka mkolezo kabisa kinatosha kuniambia naongea na kiumbe wa aina gani, Kwikwikwikwikwi!!
 
Nchi yetu imeendelea kiasi cha kwamba kila mteja anaweza kutumia hayo ma QR CODE?
Mkuu shida sio kuendelea ni elimu tu na utayari wa watu kuweza kujifunza na kuchukua hatua. Bila shaka kama mtu akiweza nunua jezi ambayo labda beii nii zaidi ya 20,000 bila shaka atakuwa na uwezo wa kuwa na smartphone hata ya laki na nusu. Kuchanganua msimbo wa QR ni rahisi tu kwa smartphone. Sema hata ukiweka huenda ni wachache watakaofanya hivyo.
 
QR code inatumika kwenye camera ya kawaida tu. Acha ushamba ewe Utopolo Kwikwikwikwikwi vyura bhana!!
Binafsi naweza kutumia ninachowaza ni watz wangapi wanajua hili? Pili 90% ya jezi feki zinauzwa mikoani huko ambako watu kwenye smart phone wanajua kutumia WhatsApp tu.
 
We tutusa naona hujielewi, kwa soko na uwizi wa tz hizo QR CODE sio msaada,
Umezoea ombaomba unadhani kila mtu anatafuta msaada. Kwikwikwkwikwi Nimekuambia akili zako umezificha kwenye makalia. Nenda chooni kwanza ewe Paula
 
Kitendo cha kucheka "Kwikwikwikwikwi" tena kuweka mkolezo kabisa kinatosha kuniambia naongea na kiumbe wa aina gani, Kwikwikwikwikwi!!
Nashukuru umeelewa kuwa unaongea na kiumbe gani. Ulituahidi wana JF kuwa unaniweka kwenye ingore list imekuwaje tena Kwikwikwikwikwikwikwi
 
Nashukuru umeelewa kuwa unaongea na kiumbe gani. Ulituahidi wana JF kuwa unaniweka kwenye ingore list imekuwaje tena Kwikwikwikwikwikwikwi
Baada ya kujua naongea na kiumbe wa aina gani nimeghairi. Ngoja niendelee kucheka comment zako, Kwikwikwikwikwi!
 
Binafsi naweza kutumia ninachowaza ni watz wangapi wanajua hili? Pili 90% ya jezi feki zinauzwa mikoani huko ambako watu kwenye smart phone wanajua kutumia WhatsApp tu.
Tatizo lako akili umezificha kwenye makalio!! Nenda kwenye mtandao wa TRA utakuta watanzania zaidi ya 45M wanatumia smart phone.

Diadola akiuza jezi 2m tu kwa Tsh 45,000 yupo na 90,000,000,000 yaani 90B.

Sasa piga hesabu akiuzia watanzania 10M itakuwaje.

Kwikwikwikwikwi, tatizo lako huna shule kichwani.
 
Hakuna sehemu Diadora anauza jezi rejareja kusema atapata 45K kwa jezi, hakuna. Pia Tanzania ipi hiyo utapata watu milioni 2 wa kununua jezi kwa shilingi 45,000. Halafu eti unaenda hadi watanzania milioni 10. Mko out of touch na maisha ya watanzania wengi kwa sababu mmezoea kufuja pesa za umma.
 
Hakuna sehemu Diadora anauza jezi rejareja kusema atapata 45K kwa jezi, hakuna. Pia Tanzania ipi hiyo utapata watu milioni 2 wa kununua jezi kwa shilingi 45,000. Mko out of touch kwa sababu mmezoea kufuja pesa za umma.
Ukiwa huna pesa wewe inatosha. Kwikwikwikwikwikwi
 
Mawazo ya watu masikini kama wewe yapo hivyo. Huwezi ukatumia muda wako kuanza kuchafua brand za watu. Huo ni useeeeeenge!!
Kumbe ndiyo maana ulipanick. Mko out of touch kiasi mnadhani QR Code ni kiki mnayoweza kutumia kuhadaa watu. Kuna vijana wengi tu mtaani wanajua hiko nilichosema ni kweli na kinawezekana, mlitakiwa mjue hilo kama msingekuwa out of touch.

Mnajichoresha tu kwa kudhani watanzania bado ni wale wale wa mwaka 47.

Chukueni mawazo yangu mkayafanyie kazi. Hiyo tabia yenu ya kushambulia na kutisha watu wenye mawazo mbadala ndiyo maana mpo hapo mlipo sasa.
 
Kwikwikwikwikwi hebu tuambie issue ya QR Code tucheke tena.
 
Mzee mimi sina mambo hayo ya kuzoeana. Kwikwikwikwikwikwi unatafuta beberu likudungue kinyeo chako?
Nasikia mambo hayo yapo mombasa nenda huko.
Eeeh huyu sasa ndiyo kiumbe niliyemuona mwanzo wa uzi huu, ulishaanza kunishtua. Kwa hiyo nikikwambia kasirika unakasirika, nikikwambia tulia unatulia. Hapo unadhani nani anamtawala mwenzie?
 
Hizi jezi walizozindua mbumbumbu naona zimejaa kwa Machinga huku Makambako ina maana ni orijino zote?
 
Back
Top Bottom