QR Code haiwezi kuwa njia ya udhibiti wa jezi feki

Siyo kweli. Narudia kukwambia unaweza kutengeneza QR Code ya kukupeleka page yoyote ile rasmi. Kwenye kurasa husika hauhitaji kufanya chochote kile cha kuitambua hiyo QR Code.

Pia tambua kuwa kutengeneza QR Code ya kumpeleka mtu ukurasa fulani siyo kinyume cha sheria. Ni sawa na kuandika tu URL kumwambia mtu nenda ukurasa fulani.
Sikusema kuwa kutengeneza QR ya kukuoeleka kwenye official page ni tatizo au aiwezekani nilicho sema ukifanya hivyo hiyo QR itatambulika kuwa ina shida baada ya kuscaniwa mara kwa mara ni kama noti bandia yenye yenye kiwango cha noti halisi kwa asilimia 100 ..bank zinaweza kuzitambua kwa kutozama marudio ya namba zenye kufanana zaidi ya moja .....kila jezi inakuwa na QR code tofauti na nyingine ...wewe unaongerea QR code kukupeleka tu kwenye official page ila uongelei hiyo official page inachakata vipi hiyo QR CODE kutambua kuwa kuna kitu kiovu kimefanyika kisicho cha kawaida
 
Maelezo yako yanaonyesha bado haujaelewa QR Code wala websites zinavyofanya kazi. Kwa kuongezea, jezi zote zina QR Code moja. Mengine nitakuwa narudia yale yale niliyosema hapo juu ila umekataa kuyakubali.
 
Qr code ni bora zaidi ya bar codes. Qr code zinabeba taarifa nyingi zaidi in 3D kitu ambacho barcode haiwezi kufanya.
Kutengeza ni rahisi kwa sababu zipo app kibao tu za kuzigenerate.
Kuhusu kuzuia jezi fake naunga mkono kuwa haziwezi unless kila jezi iwe na msimbo maalum uliounganishwa na na database mtu akiscan iweze kucompare na kurudisha taarifa kwama ni OG au fake kitu ambacho najua ni gharama na sioni wakifanya.
Vitu vingine huwa ni mbwembwe tu za kunogesha mambo kama ilivyokuwa kwa nape na roboti lake
Wewe ndio umemaliza mjadala.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Mtengemezaji n fake

Semaji fake..timu ..f...
Kweli mkuu mtengenezaji ni fake na Jez feki, wao kama wanataka Jez feki zijulikane kwa macho wanatakiwa jezi zitengenezwe na Kampuni za vifaa vya michezo na siyo zitengezwe na mafundi wa Veta.
 
Kuzuia jezi fake hata Ulaya wamechemka cha msingi ni shabiki mwenyewe aende kwenye maduka yaliyo tangazwa na club.

Sijau kama hizi ni mpya au zile zilizovuja kama ndio zile, wabongo huwaga hawangalii QR code wala kitu gani watakacho angalia ni bei ya kitonga.
Mkuu hakuna jezi feki jezi za Ulaya nzuri sana na Zona ubora Wazungu wana dunia yao kwenye Mambo ya nguo na vifaa vingine, Mimi nina jezi nilipewa na Mzungu jezi Moja ya AC MILAN na Nyingine ya Dortmond yani hizi jezi nzuri sana kwa ubora yani zina viwango vya ubora na nikivaa nakua peke yangu. Yani ni Jez nilipewa nikikwambia nenda Dukani kainunue kama hii huwezi kuipata
 
Maelezo yako yanaonyesha bado haujaelewa QR Code wala websites zinavyofanya kazi. Kwa kuongezea, jezi zote zina QR Code moja. Mengine nitakuwa narudia yale yale niliyosema hapo juu ila umekataa kuyakubali.
ULIPO SEMA JEZI ZINA QR MOJA TAYARI HIYO NI NI SAWA NA QR YA WEBSITE SIYO QR YA SECURITY AND UHAKIKI .....kama ni kweli ulicho sema basi hiyo QR haiwezi kuwa security bali ni kama address tu wamiliki QR inatakiwa kuwa tofauti kila jezi ili iweze kutumika kama security
 
Mkuu hakuna jezi feki jezi za Ulaya nzuri sana na Zona ubora Wazungu wana dunia yao kwenye Mambo ya nguo na vifaa vingine, Mimi nina jezi nilipewa na Mzungu jezi Moja ya AC MILAN na Nyingine ya Dortmond yani hizi jezi nzuri sana kwa ubora yani zina viwango vya ubora na nikivaa nakua peke yangu. Yani ni Jez nilipewa nikikwambia nenda Dukani kainunue kama hii huwezi kuipata
Jezi fake ulaya zipo, tena nyingi tu. Sema wenzetu ni mashabiki wa kweli,wanapenda kununua vitu OG kwa ajili ya kuchangia ckub zao,ndio maana hata vilabu vyao vinauchumi mkubwa.Ila fake zipo nyingi tu. Sema hata fake nazo zinagrade,kuna fake nyingine zinakaribiana na OG kuzitambua ni ngumu.

Wabongo tunapenda vitonga, tupo hivyo wengi wetu hatupendi kuchangia hivi vilabu, mfano tu kwa idadi ya mashabiki wa hizi timu za Kkoo kama wangekuwa tayari, kuchangia elfu kumi kwa mwaka,hivi vilabu visinge hitaji muwekezaji yoyote yule.
 
Mkuu kwa timu za Tanzania hakuna ata timu moja nyenye jezi original. Jezi zote za vilabu vyetu na Timu ya Taifa jezi zao zinatengenezwa chini ya Viwango. Ili timu zetu na Timu ya Taifa ili ziwe na jezi Original inabidi ziingie mikataba na Makampini makubwa ya kutengeneza vifaa vya michezo mfano Puma. NIKE, Adidas na siyo kuingia mikataba ya kutengeneza jezi na wakina Vunja bei na jayrutty. Yani Viongozi bado wanaishi Dunia ya miaka 70 iliypoita, Kwanini vilabu vya Misri. MOROCCO. TUNISIA, SOUTH AFRICA,timu zao wana vaa jezi zilizo tengenezwa na Kamouni kubwa. Ni vichekesho Zamalek au Rs Berkane wampe Vunja beo wao awatengenezee jezi baada ya kwapa Nike au Adidas au Puma. Yani viongozi wetu akili zao zime lala
 
Issue sio viongozi, viongozi wanaweza wakazifuata hizo kampuni,ila hizo kampuni watatuma watu wao kufanya research kuanzia idadi ya mashabiki ambao wanauwezo wa kununua jezi kwa bei yao,wakigundua kama mashabiki hamna au mnao ila uchumi wenu wa kawaida hawajisumbui kabisa.Jezi ulaya inafika mpaka laki tatu, kibongo bongo wenye uwezo huo unawatafuta kwa tochi, hata wakisema washushe laki mbili still bado na wenzetu kampuni hizi kubwa haziwezi kucompromise Quality yao sababu ya hali yenu ya kiuchumi, wao wanacho angalia ni kutoa product quality ili kuilinda brand yao.

Tunisia,Morocco, Misri na hata Nigeria, mashabiki wao wanauwezo na wanapenda kununua vitu OG na si vitonga na kule wanaendesha vilabu vyao kwa michango ya mashabiki wao. Ila huku kwetu hali za kiuchumi za mashabiki ni za kawaida, pili hawana culture ya kupenda kuchangia club yao na kununua bidhaa OG za club.

Jezi zetu za club zote hazina quality, huwezi kupata quality kwa 45k.
 
ULIPO SEMA JEZI Z9NA QR MOJA TAYARI HIYO NI NI SAWA NA QR YA WEBSITE SIYO QR YA SECURITY AND UHAKIKI .....kama ni kweli ulicho sema basi hiyo QR haiwezi kuwa security bali ni kama address tu wamiliki QR inatakiwa kuwa tofauti kila jezi ili iweze kutumika kama security
Ni QR Code moja kwa jezi zote
 
Issue sio viongozi, viongozi wanaweza wakazifuata hizo kampuni,ila hizo kampuni watatuma watu wao kufanya research kuanzia idadi ya mashabiki ambao wanauwezo wa kununua jezi kwa bei yao,wakigundua kama mashabiki hamna au mnao ila uchumi wenu wa kawaida hawajisumbui kabisa.Jezi ulaya inafika mpaka laki tatu, kibongo bongo wenye uwezo huo unawatafuta kwa tochi, hata wakisema washushe laki mbili still bado na wenzetu kampuni hizi kubwa haziwezi kucompromise Quality yao sababu ya hali yenu ya kiuchumi, wao wanacho angalia ni kutoa product quality ili kuilinda brand yao.

Tunisia,Morocco, Misri na hata Nigeria, mashabiki wao wanauwezo na wanapenda kununua vitu OG na si vitonga na kule wanaendesha vilabu vyao kwa michango ya mashabiki wao. Ila huku kwetu hali za kiuchumi za mashabiki ni za kawaida, pili hawana culture ya kupenda kuchangia club yao na kununua bidhaa OG za club.

Jezi zetu za club zote hazina quality, huwezi kupata quality kwa 45k.

Mkuu kwa timu za Tanzania hakuna ata timu moja nyenye jezi original. Jezi zote za vilabu vyetu na Timu ya Taifa jezi zao zinatengenezwa chini ya Viwango. Ili timu zetu na Timu ya Taifa ili ziwe na jezi Original inabidi ziingie mikataba na Makampini makubwa ya kutengeneza vifaa vya michezo mfano Puma. NIKE, Adidas na siyo kuingia mikataba ya kutengeneza jezi na wakina Vunja bei na jayrutty. Yani Viongozi bado wanaishi Dunia ya miaka 70 iliypoita, Kwanini vilabu vya Misri. MOROCCO. TUNISIA, SOUTH AFRICA,timu zao wana vaa jezi zilizo tengenezwa na Kamouni kubwa. Ni vichekesho Zamalek au Rs Berkane wampe Vunja beo wao awatengenezee jezi baada ya kwapa Nike au Adidas au Puma. Yani viongozi wetu akili zao zime lala
Sikubaliani na mawazo ya wengi kuwa haiwezekani kupata jezi bora kwa 45K. Tuchukulie TSh 45K ni kama $20. Mimi nina nguo za kawaida nimenunua kwa bei kama hiyo nimekaa nazo kwa miaka. Inategemea nguo inatengenezwa wapi au unainunua wapi.

Hizi timu zikimuhakikishia mzabuni mauzo ya jezi 300,000 kwa 45K, hata hao Puma na Nike watavutiwa. Hiyo siyo pesa ndogo. Kinachofanyika tu ni aina fulani ya uhuni ili mzabuni na timu zimaximize faida ndiyo maana wanashusha ubora. Kingine hata hizo jezi tunazoita feki zinatolewa na kuratibiwa usambazaji wake na hawa hawa wazabuni na vilabu ili kuwakamata wale wasio na uwezo wa kulipa hiyo 45K, na hawa ni wengi mno.
 
Si umeona jezi ya Mamelod 250k.Mimi nina jezi ya Brazil nilipewa kama zawadi gharama 300k ninayo mpaka hii leo na haijachuja. Nina jamaa anajezi ya Chelsea ya msimu uliopita, kuna shabiki wa Arsenal alinunua ile JVC ukiitizama na hizi zetu utagundua ni maronyaronya. Jezi hizi zikifuliwa ndani ya miezi mitatu zinapoteza ubora. Puma,Nike,Adidas hawezi fanya biashara hiyo ya 45k, wale hawezi kucompromise Quality kisa hali yenu ya kiuchumi.
 
Nimeongelea idadi ya makadirio ya mauzo ya jezi kama njia nyingine ya kuvutia hao wazabuni. Mamelodi hana idadi ya wanunua jezi kuzidi Simba na Yanga. Sisi shida yetu kubwa ni mifumo ya usambazaji ya uhakika ndiyo maana nimesifia wazo la kuuza kupitia posta. Hii inaweza kuwa suluhisho zuri sana siyo tu kwa jezi ila kwa wauzaji wa bidhaa zingine.

Cha mwisho ambacho naona hamkizingatii ni kuwa bei ya jezi haimaanishi moja kwa moja ni pesa nyingi inayoenda kwa mzabuni kufidia gharama za ubora wa jezi. Hizo bei za jezi za Al Ahly na nyingine mnazoorodhesha inawezekana asilimia kubwa inaenda kwa vilabu na mashabiki wako tayari kulipa kama sehemu ya kuchangia klabu yao. Kwa hiyo mnapoongelea ubora na kuuhusisha na bei ya jezi inabidi mlizingatie hilo pia.
 
Sijajua kama huu utaratibu uliowekwa wa mzabuni wa jezi za Simba JayRutty kuweka QR Code katika jezi kama ni njia sahihi ya kudhibiti jezi feki.

Ninavyofahamu mimi ukishajua hiyo QR Code inatakiwa kukupeleka kwenye website na ukurasa gani, hata mimi ukinipa dakika 2 naweza kuitengeneza sasa hivi hapa nikiwa geto nimevaa boksa. Wahuni wanaprint katika vikaratasi vidogo wanashona fasta tu.

Uamuzi ambao nimeupenda ni wa kuzisambaza jezi katika ofisi za posta nchi nzima. Huu ni ubunifu mzuri sana ukizingatia changamoto za usambazaji tulizonazo nchini na ukosekanaji wa wasambazaji wenye maduka mengi nchi nzima. Ambacho sina uhakika ni kama huu utakuwa utaratibu endelevu ili mzigo ukiisha katika kituo fulani stock mpya inaletwa bila kuchelewa. Pia sina uhakika kama Posta wana maduka ndani ya ofisi zao au ndiyo ukifika pale unasubirishwa nusu saa wakatafute jezi zilipo maana tunazijua hizi taasisi za serikali na ufanyaji wao wa kazi. Na hapo haujakutana na mfanyakazi wa posta ambaye amerithi ushabiki wa Yanga, utaisoma namba.

Kuhusu tukio la leo, binafsi sijalienjoy. Tukio halikupangwa vizuri na maneno yalikuwa meengi kuliko burudani. Nilitaka nilete uzi niorodheshe mambo ambayo sijayapenda ila naona nikaushe tu, sina mzuka na mamipira yenu haya yaliyojaa siasa na ubabaishaji.
Supu ya bure lini mkuu?
 
Nimeongelea idadi ya makadirio ya mauzo ya jezi kama njia nyingine ya kuvutia hao wazabuni. Mamelodi hana idadi ya wanunua jezi kuzidi Simba na Yanga. Sisi shida yetu kubwa ni mifumo ya usambazaji ya uhakika ndiyo maana nimesifia wazo la kuuza kupitia posta. Hii inaweza kuwa suluhisho zuri sana siyo tu kwa jezi ila kwa wauzaji wa bidhaa zingine.

Cha mwisho ambacho naona hamkizingatii ni kuwa bei ya jezi haimaanishi moja kwa moja ni pesa nyingi inayoenda kwa mzabuni kufidia gharama za ubora wa jezi. Hizo bei za jezi za Al Ahly na nyingine mnazoorodhesha inawezekana asilimia kubwa inaenda kwa vilabu na mashabiki wako tayari kulipa kama sehemu ya kuchangia klabu yao. Kwa hiyo mnapoongelea ubora na kuuhusisha na bei ya jezi inabidi mlizingatie hilo pia.
Uwezo wa kiuchumi wa mashabiki wa bongo ni mdogo na hamna uwezo huo wa kununua jezi ni wachache mno wanaoweza kunua jezi kwa laki 2+,mfano jezi ya Al Ahly msimu huu ni euro 65 kama 190000,wangapi wana uwezo huu? Narudia tena kamapuni hizi kubwa sio kama wachina wanakutengenezea bidhaa kutokana na hela yako, wale wanastandard na Quality walizo jiwekea, hawawezi kucompromise Quality kisa hali yako ya kiuchumi.Hata muwe mashabiki zaidi ya mil 10,ila husitegemee Nike,Adidas, Puma watengeneze jezi wakuuzie kwa 45k,hawafanyi hiko kitu,tuendelee na hizi jezi zetu kutoka china. Tofauti labda kwa msimu huu kwa hizi jezi ni bar code na designing ya rangi, ila ukija kwenye michoro na Quality jezi zote zinafanana au zinakaribiana na zote Mchina kahusika, maana ndiye anaye kutengenezea kutokana na hela yako.
 
Umekariri sana mambo. Kuna makampuni mangapi ya Ujerumani, UK na Uingereza yanafanya biashara Tanzania na wanapata wateja? Hawa nini kilichowavutia kama hatuna uwezo wa kulipa kama nchi za kitajiri? Umekariri jezi lazima iwe 200K ndiyo iwe na ubora wakati siyo kweli
 
Why ushajiuliza kwa nini jezi zinazotengenezwa na hizo kampuni ulizo zimentioned zina range kwenye kuanzia 200k+? Kampuni za ulaya kabla ya kuingiza product zinaset standard ambayo wao wenye hawawezi kucompromise.

Hamna uwezo wa kununua brand kutoka UK,Germany mfano magari zaidi ya 90% ni mjapani tena used.Huku Mchina anakuletea fake ila sio zile first grade,unaletewa kuanzia third na kuendelea.
 
Qr code ni bora zaidi ya bar codes. Qr code zinabeba taarifa nyingi zaidi in 3D kitu ambacho barcode haiwezi kufanya.
Kutengeza ni rahisi kwa sababu zipo app kibao tu za kuzigenerate.
Kuhusu kuzuia jezi fake naunga mkono kuwa haziwezi unless kila jezi iwe na msimbo maalum uliounganishwa na na database mtu akiscan iweze kucompare na kurudisha taarifa kwama ni OG au fake kitu ambacho najua ni gharama na sioni wakifanya.
Vitu vingine huwa ni mbwembwe tu za kunogesha mambo kama ilivyokuwa kwa nape na roboti lake
Naam mkuu, ni issue ya uendeshaji wao tu ndo utaamua ufanye kazi au uwe wa mbwembwe
 
Why ushajiuliza kwa nini jezi zinazotengenezwa na hizo kampuni ulizo zimentioned zina range kwenye kuanzia 200k+? Kampuni za ulaya kabla ya kuingiza product zinaset standard ambayo wao wenye hawawezi kucompromise.

Hamna uwezo wa kununua brand kutoka UK,Germany mfano magari zaidi ya 90% ni mjapani tena used.Huku Mchina anakuletea fake ila sio zile first grade,unaletewa kuanzia third na kuendelea.
Umeshafanya utafiti ukajua ni asilimia ngapi ya hiyo 200K inaenda kwa mzabuni na asilimia ngapi inaenda kwa klabu?

Mbona serikali inanunua maelfu ya magari ya bei ya juu kila mwaka kama sisi ni maskini? Unataka kuniambia SGR imejengwa kwa kiwango duni kutokana na umaskini wetu? Unataka kusema zile ndege mpya za ATCL zilizoletwa katika kipindi hiki cha miaka 10 iliyopita ni za kiwango cha chini kutokana na umaskini wetu?

Ukienda katika maduka ya huko Ujerumani au Uingereza ukanunua shati au fulana ya $20 je litakuwa la kiwango hafifu?
 
Back
Top Bottom