Queen Kan,,nipe password ya moyo wako Baba V tupokee mezani kwako.

kwa hasira ungeenda siasani!

^^
Hapo karibu mno,,angeniona ningehamia intellijensia nikapige stori na mtikila juu ya rwanda na mipaka yetu!
Loo! Thank God nimekubaliwa
^^
 

Safi sana shem wangu wa ukweli! acha Himidini aishi ndani ya moyo wako, nakuhakikishia utafurahi wewe hadi akina ladyfurahia na Mrembo by Nature washangae! hongera sana shemeji!

Hongereni wote kwa kweli! Kila la kheri na safari yenu njema!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
^^
Nimeupokea moyo wako,
Sitalipuuza pendo lako,
Najua hauna mfupa moyo,
Ukioza umeoza tulia ulipoo,
Nitakutunza milele isiwe sikitiko,
Malkia wangu pokea kumbatio,
Asante kunikumbalia ombi la moyo
..
cc Lady doctor & Baba V
^^

hongera sana best, naona ndoano imeibuka na samaki!!
Chapa mwendo kwa mwenyekiti umpashe habari!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
^^
Hapo karibu mno,,angeniona ningehamia intellijensia nikapige stori na mtikila juu ya rwanda na mipaka yetu!
Loo! Thank God nimekubaliwa
^^

hahahaaa...... Au ungenda kuwapokea wageni kwenye lile jukwaa lao.
 
^^
teh teh kama kuna jukwaa ambalo nisingejulikana ni hiloo!
Loo,,JF raha sana vichaka vingi.
^^

hahahaaa...... Ungejulikana tu si unawapokea kwa ngonjera na mashairi wangefurahijee!!??
 
hahahaaa...... Ungejulikana tu si unawapokea kwa ngonjera na mashairi wangefurahijee!!??

^^
Ningejulikana loo! Usiombe kumuona umpendae anavishwa na mwingine,,roho inaumaje? Hivi kweli kuna huduma ya Ku-deactivate account jf?
Maana ningepotea mazima.
^^
 
Kwani hajampata tu mtoto wa kinyakyusa(ushirika-tukuyu).

^^
Waoo NGANU ! Tell me more about her,,nambie mahari Loo! Toto la kinyakyusa!
^^
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana Himidini kwa kupata mwenza hapa..

Angalizo...kuna mijitu inapenda sana wake za watu humu
Alivyokuwa peke yake humu walikaa kimya
mnavyoanza kuwa pamoja wataanza kumghasi..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…