Halafu wewe kama ninakufahamu vile..
hahahaaa...... Au ungenda kuwapokea wageni kwenye lile jukwaa lao.
hongera sana best, naona ndoano imeibuka na samaki!!
Chapa mwendo kwa mwenyekiti umpashe habari!!!!!!!
yaani nawe umeshiriki?
^^
Asante Mkuu,,nilishahisi hilo
^^
swali zuri kias gumu kulijib bado natafakari. Kwani mke ni rafiki yako au ndugu yako? Kama ni ndugu mbona mwaachana kama marafiki? Kama ni rafiki mbona unamjali kuliko nduguzo?
^^
Asante Mkuu,,nilishahisi hilo
^^
:ban::ban::ban:
Pole sana kijana wangu the world is not fair at all
nilijua tu, bt hunisumbui hata kidogo
surely time will heal the wounds though the scar will remain. Lakini umesahau grass will always look greener on the other side but dont forget it will always have to be mown.