Queen Kan,,nipe password ya moyo wako Baba V tupokee mezani kwako.

surely time will heal the wounds though the scar will remain. Lakini umesahau grass will always look greener on the other side but dont forget it will always have to be mown.

uliniacha mwenyewe, niache nile raha!
 
naomba ukome kuingiilia mambo yasiyokuhusu nilikuja kwako kukwambia kuwa nimeachana na Mentor au unajipendekeza tu ili nawe uonekane mtu kati ya watu, naomba usiendelee kunifuatilifuatilia kiasi hicho sitaki kuingiliwa katika himaya yangu la sivyo nitaripoti kwa mkuu wa cc
^^
Mbona hivyoo ladyfurahia kwa mtazamo huu heri ulimwacha Mentor negativity nyingi hee
^^
 
Last edited by a moderator:

kimtokacho mtu ndicho kimjaacho!!
 
Last edited by a moderator:

^^
Go ahead mama make a report,, halafu kuna abuse button make ur own comments,,we vp? Hasira haijengi binti
Big up Mentor
^^
 
Last edited by a moderator:
unanitakia nini mtoto wa mwenzio niache nipumue kwanini lakini

^^
Ukitaka ukichwamaji mi ni mwenyewe!! Tatizo mna consider CC relationships into serious relations,,endelea mbele ushitaki mpaka kwa mods ndio kazi yao! What a shit!! Nenda mbele binti,,ila usisahau Kauli njema yashinda mali.
^^
 
^^
Ukitaka ukichwamaji mi ni mwenyewe!! Tatizo mna consider CC relationships into serious relations,,endelea mbele ushitaki mpaka kwa mods ndio kazi yao! What a shit!! Nenda mbele binti,,ila usisahau Kauli njema yashinda mali.
^^

Hata usimalize busara zako bure mpenzi, mie na watu wengine bado twazihitaji ujue!!
 
Hata usimalize busara zako bure mpenzi, mie na watu wengine bado twazihitaji ujue!!

^^
Akashitaki anakoshitaki,,nimezoea kukutana na milima sishitushwi na mabonde..
You know what dear! Ameniharibia mood.
Tena alete hizo ban Maana sikuwa kupata.
Wahenga walisema Dunia haiishi zinge
^^
 
Wenye ukuu hawajitaji, haya wee jitie ukuu ilihali wenye ukuu hawajitaji. Kumbuka mke ni matunzo, mgomba kupalilia

^^
Mrembo by Nature
Usihofu dadangu nilishachumia juani Nataka wa kula nae kivulini,
Kwangu mimi thamani ya mke ni mavazi,kula vizuri,kulala vizuri na kumpa uhuru (love is not all 100% possessive)
Hebu wasiliana na Lady doctor akupangie kamati.
^^
 
Last edited by a moderator:
^^
akashitaki anakoshitaki,,nimezoea kukutana na milima sishitushwi na mabonde..
You know what dear! Ameniharibia mood.
Tena alete hizo ban maana sikuwa kupata.
Wahenga walisema dunia haiishi zinge
^^

usijali dia, we mwekee tinted ataelewa mwenyewe!!
 

Mwe..!!
 
^^
Nimeupokea moyo wako,
Sitalipuuza pendo lako,
Najua hauna mfupa moyo,
Ukioza umeoza tulia ulipoo,
Nitakutunza milele isiwe sikitiko,
Malkia wangu pokea kumbatio,
Asante kunikumbalia ombi la moyo
..
cc Lady doctor & Baba V
^^

Ndo naisoma kwa makini yaliyopitiliza hapa..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…