Queen Sendiga, pendeza basi mama, tunaokutazama tufurahi!

Kasuka nywele za jero
 
Ñjoo ofisini kwangu J3.Asubu.
 
Kama kuna mwanamke ambaye ningependa awe Dada yangu wa hiari ni MH Queen Sendiga.Ni kielelezo cha a genuine African woman...Namkubali sana simfahamu Ila kila niliona kuna Jambo anaongelea kuhusu mkoa ama maendeleo ya nchi huwa lazima nifungue nisikie anasema nn...Laiti kama mabinti wangemfanya huyu kuwa role model wao wangefika mbali.Mama Dr Samia aliona mbali kuteua vichwa kama hivi, beauty with brain,wengine ni pamoja Mama zangu/Dada zangu Dr Tulia,Dr Gwajima,Ummy Mwalimu,Mdogo wangu Jokate Mwegelo na jembe langu Mama Stergomena Taxi.Nawaombea kila heri mzidi kuitumikia nchi , Mwenyezi Mungu awape afya njema 🙏
 
Huyo ni malkia asiyependa makuu...
 
Mtoa Post huna Kazi ya kufanya ?

That's personal life BHANA..

Nenda kamtizame JZ Marekani huko na hairstyle yake...Tafuta kibarua ufanye .

Nonsense
 
Huyu mama ni mrembo sana. Kama atasoma hii comment yangu namshauri aendelee kubaki hivyo hivyo, binafsi nampenda sana. wewe muanzisha mada endelea kudanganyika na wadada/wamama wenye muonekano bandia.

Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…