Queen Sendiga, pendeza basi mama, tunaokutazama tufurahi!

Role model wangu,namkubali sana, nikimtizama hana makorokoro,najiona mimi[emoji3059]
 
Yeye na mdamda mmoja aliwahi kuwa naibu waziri siku za nyuma FENERA MKANGARA. Kwa kweli wanapendeza kwa style hiyo,hakuna Madrid, they are naturally beauty. FENERA MKANGARA sijui siku hizi yuko wapi.
 
Kumbe mama ni wa Majengo huyu?

Mitaa ipi sasa kule juu, kwa marehemu Mwangoka, Legico, Mbata, Machinjioni...??
Joka Road, ila walikuja kuhamia Tanga. Mama yake alikuwa ni mwana kwaya wa Kwaya Kuu, Moravian Mbeya Mjini, enzi za Mwamlima.

Mama yake alikuwa charming sana na mfanya maigizo maharishi kanisani.
 
mi namzimia kama alivyo. yuko natural sana, she is pure african, bantu woman.

Hivyo ndivyo mwanamke wa kibantu anatakiwa awe, pure flesh.

sio kuweka yale manywele ya katani na makope ya paka na kujichubua, thats an insult to african beauty and an insult to God na uumbaji wake.
 
Piga kazi Dada Queen mwana kiteengooo huna makuuu
 
Ila stendi ya makumbusho inaongoza kwa warembo jaman,mpka huwa najiuliza Hawa n watu kwel au wengine mizuka🤔
Ipo mkoa gani? Kama ni ya hapa Dar ni chai. Mbona kuna wanawake wa kawaida waliojirundikia ma make up na makolokolo kibao usoni huku yamevaa masuruali ya kubana makalio tu.
 
Hahaaaaa hatari mkuu. Alikuwa RC wetu kipindi nikiwa Iringa. Hana shida mama wa watu.
 
Angekuwa anasukwa vizuri basi hiyo mistari hapo kichwani 🚮 Mwanamke ni kupendeza jamani
 
Joka Road, ila walikuja kuhamia Tanga. Mama yake alikuwa ni mwana kwaya wa Kwaya Kuu, Moravian Mbeya Mjini, enzi za Mwamlima.

Mama yake alikuwa charming sana na mfanya maigizo maharishi kanisani.

Dah! sawasawa umenikumbusha mchungaji Mwamlima, zamani hii...
 
Yuko vizuri mama wa watu
 

Attachments

  • IMG-20230117-WA0043.jpg
    46.7 KB · Views: 2

 
Kamesuka twende kilioni shangazi! Nakapenda sana hivyo kalivyo hako ka mama! Mlio karibu na Queen Sendiga mpeni taarifa kwamba Manjagata huku anakuzimikia kikweli kweli!
 
Unapenda yanayoweka mawigi mpaka inakuwa chukizo! Unalikuta li m-mama la Kiafrika eti nalo linatingisha kichwa kurekebisha nywele, pumbavu kabisa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…