Quran hii iliyoandikwa imetoka wapi wakati Muhammad hakujua kusoma wala kuandika?

Status
Not open for further replies.
Hakuna injili kwasasa asilimia 80 ya biblia ni masimulizi na mafundisho ya watu ambapo wengine hata hawakuwahi kumuona.

Asilimia 18 ni maneno ya yesu lakni yameandikwa na chawa wake baadae sana hatuna Imani kama ni yakweli

Na asilimia 2 ni zaburi na torati
 
Kwaiyo mtume alishushiwa quran karne ya pili sio?
Wewe taahira unashida mahali mtume kaja Karne ya 7.

Wa law nazzalna 'alayka kitaaban fee qirtasin falamasoohu bi-aydeehim laqaala alladheena kafaroo in hatha illa sihrun mubeen.

Hiyo hoja ya karatasi ni tafsiri tu kufikisha ujumbe Kwa kiswahili wenyewe wanasema QIRTAS inaweza kuwa ngozi, magome au mawe

Halafu leta hoja zilizoshiba sio utoto
 
Naona unaruka ruka tu. Naomba kifungu toka kwenye Injili ya Issa bin Maryam kutoka kwenye quran inayotaja wanafunzi wake 12
 
Naona unaruka ruka tu. Naomba kifungu toka kwenye Injili ya Issa bin Maryam kutoka kwenye quran inayotaja wanafunzi wake 12
Ww chizi unajua maana ya injili au unaropoka?
Maneno ya Mungu kwenda kwa yesu na Yesu kuja kwetu ndo injili, unataka Mungu amtaje Yohana?
 
Iv ndugu huwez kujibu hoja bila kutumia lugha nzuri.

Mnyaazi hapendi kudharau watu
Mnamaswali ya kipuuzi ambayo unaweza uliza hata grok ukapata Jibu lakni mnayaleta hapa kama sio upunguani ñn?

Leta maswali yanayohitaji kufikria kama binadamu Kwa logic sio mzaha na utoto
 


Mkuu,

Kwa hiyo siku muhamadi anakufa alikuwa anajua kusoma na kuandika? Haujaulizwa kama alifundishwa ama la, bali alijua kusoma na kuandika?

Kuna mafundisho ya uongo kuhusu kushushwa kwa kuruani, Waislamu wengi huongea kanakwamba hicho kitabu kilikuwa kimeandikwa, halafu mohamadi akapewa, ndiyo kumaanisha kilishushwa

Lakini tunaona kupitia hadithi zinaeleza kwamba muhamadi alikutana mara kadhaa na kitu anachokiita malaika Jibril, kinamkaririsha maneno kwamba yametoka kwa allah, na muhamadi akawaambia baadhi ya watu wake wa karibu, wakaandika baadhi na mengine wakashika kichwani, baada ya kufariki kwake ndipo jitihada za kukusanya maneno yake waliyoyashika kichwani na mengine kuyaandija, wakatengeneza kuruani.

Hiyo historia inaleta ukakasi sana, kiasi kwa mtu mwenye uelewa anaona maeneo mengi yanayoruhusu upotoshaji.
 

Mkuu,

Kipindi muhamadi yupo hapa duniani, hiyo Injili na Torati vilikuwepo ama havikuwepo?
 
Kitu cha kukarishwa kichwanI kama akiamua kupotosha mtajuaje? Kuna walakini sana
 
napata hisia kuwaa hata mwamedi hakujua maana ya neno injili.Maskini wa watu alijua injili ni kitabu na hata mazombie yake yanajua hivyo!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…