Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 5,476
- 11,393
Deuteronomy hebu punguza aibu ndogo ndogo jielimishe maana ya ya hilo neno basi!Torati haipo,ilikusanywa na kuchomwa moto, ndiyo maana hii inaitwa kumbukumbu ya torati,yaani watu waliulizana mistari wanayokumbuka kisha wanaandika, huwezi tegemea document ya hivyo
Kuliko yule aliyakamatwa na kijana wa kiume akiwa uchi , alfajiri , chupi kaweka begani , kule kwenye vichaka vya Gesthemane ??
Ezra alitia mikono Torah miaka mingi kabla yesu hajazaliwaDeuteronomy hebu punguza aibu ndogo ndogo jielimishe maana ya ya hilo neno basi!
😅😅
Injili ya yesu haipo,zipo injili za mathayo, Marko, LukaInjili ni nini tuanzie hapo
Hahahaah daaa hii nayo mpya!
Marko 14:50-53
[50]Ndipo wakamwacha, wakakimbia wote.
[51]Na kijana mmoja alimfuata, amejitanda mwili wake nguo ya kitani; wakamkamata;
[52]naye akaiacha ile nguo ya kitani, akakimbia yu uchi.
[53]Nao wakamchukua Yesu kwa Kuhani Mkuu; wakamkusanyikia wote, wakuu wa makuhani na wazee na waandishi.
Injili ni nini?Injili ya yesu haipo,zipo injili za mathayo, Marko, Luka
Lete ushahidi!Ezra alitia mikono Torah miaka mingi kabla yesu hajazaliwa
Hiyo injili ya Yesu kama haipo wewe umejuaje kwamba haipo na iliyopo sio Injili yake? tupe ufafanuzi!Injili ya yesu haipo,zipo injili za mathayo, Marko, Luka
Si iulize Ai yako unayoipenda, itakupa majibuInjili ni nini?
Injili ya yesu haipo,zipo injili za mathayo, Marko, Luka
Ila ww unajizima data sana...
Dah!
Zinaongelea mengi tu kuhusu Yesu lakini hakuna hata mmoja aliandika hivyo vitabuUmeulizwa Injili ni nini?.
Na mm nakuuliza hizo Marko. Mathayo na Luka zinaongelea nn au juu ya nani?
Hawa hatuwaelewi wanashika kipi na kuacha kipi yaani anasema injili ni fake na anatumia hiyo hiyo fake kuinasibisha na Quran hivi ni vituko vya karne kuna mwenzake alisema Isaya 29:1 imemtabiri Muhammad nikaweka aya aanze isaya 29:1 aone muktadha wa mwandishi akakosa jibu amerukia ooh Isaya yote imechakachuliwa na kuleta madesa ya kudemka toka AI hata hayaeleweki zaidi ya kumwaibisha tu bado anademka huko sheikh JaginaIla ww unajizima data sana...
Dah!
Ki vipi na Torati ya musa na Injili ya Yesu haipo , au tukuletee ushahidi ??
Sababu yesu alihubiri monotheism,kumpwekesha Mungu kama ilivyo kwenye torati ambayo alisema hakuja kuivunjaHiyo injili ya Yesu kama haipo wewe umejuaje kwamba haipo na iliyopo sio Injili yake? tupe ufafanuzi!
Hawa hatuwaelewi wanashika kipi na kuacha kipi yaani anasema injili ni fake na anatumia hiyo hiyo fake kuinasibisha na Quran hivi ni vituko vya karne kuna mwenzake alisema Isaya 29:1 imemtabiri Muhammad nikaweka aya aanze isaya 29:1 aone muktadha wa mwandishi akakosa jibu amerukia ooh Isaya yote imechakachuliwa na kuleta madesa ya kudemka toka AI hata hayaeleweki zaidi ya kumwaibisha tu bado anademka huko sheikh Jagina
😂😂
Injili(neno la kiarabu) linarejea kitabu(siyo present hard copy) cha Mungu alichompa issa bin Maryam kama muongozo wa Mungu kwa binadamUmeulizwa Injili ni nini?.
Na mm nakuuliza hizo Marko. Mathayo na Luka zinaongelea nn au juu ya nani?
nakuletea ushahidi , huo ushahidi wako nilishau crush sana tu humu , usije ukalalamika unaleta AI na GTP mimi nakuruhusu utumie Chart GTP nita crush tuLeta ushahidi .
Quran ilichomwa yote na vitabu vingne vililiwa na Mbuzi.
Au nikuletee ushahidi?
Leta ushahidi .
Quran ilichomwa yote na vitabu vingne vililiwa na Mbuzi.
Au nikuletee ushahidi?
“Ikawa Musa alipomaliza kuyaandika maneno yote ya sheria hii katika kitabu mpaka yakakamilika, Musa aliwaamuru Walawi waliolichukua sanduku la agano la Bwana, akisema: Chukueni kitabu hiki cha sheria, mkiweke kando ya sanduku la agano la Bwana, Mungu wenu, ili kiwe hapo kama ushahidi dhidi yenu. Kwa maana nayajua uasi wenu na shingo zenu ngumu; tazama, wakati nikiwa bado hai pamoja nanyi leo mmekuwa waasi kwa Bwana; je, si zaidi baada ya kufa kwangu? Nikusanyieni wazee wote wa makabila yenu na maafisa wenu, ili niseme maneno haya masikioni mwao, na niviite mbingu na nchi ziwe mashahidi juu yao. Kwa maana najua kwamba baada ya kufa kwangu mtaharibika kabisa, na kuacha njia niliyowaamuru; na maovu yatawapata siku za mwisho, kwa sababu mtatenda yaliyo maovu machoni mwa Bwana, mkimkasirisha kwa matendo ya mikono yenu.”
(Kumbukumbu la Torati 31:25–29)
“Mnawezaje kusema, ‘Sisi ni wenye hekima, na sheria ya Bwana iko pamoja nasi’? Lakini tazama, kalamu ya uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo.”
(Yeremia 8:8 – Revised Standard Version)