Quran inawezaje kushindwa hesabu ndogo Kama hii?

Hapo ndipo shida ilipo. Ili kuficha upungufu wa Quran
Nani kasema watoto wa kike wagawane sawa mabaki?
Quran unataka wapate kila mtu 1/3 ya mali ya marehemu.
 
Hapo ndipo shida ilipo. Ili kuficha upungufu wa Quran
Nani kasema watoto wa kike wagawane sawa mabaki?
Quran unataka wapate kila mtu 1/3 ya mali ya marehemu.
Hivi ni wapi walifanya mgawo wa urithi halafu wakakuta makosa kama uliyoyakuta wewe ๐Ÿ˜ƒ
 
Mzee soma sana ,kama haujui basi ombe ufundishwe kuelewa ..Hiyo ni mada ya form 2 au 3 .Ni simple sana ..Soma Qur an uelewa hapo ukileta tafsiri tofauti utajichanganya.
 
Mzee soma sana ,kama haujui basi ombe ufundishwe kuelewa ..Hiyo ni mada ya form 2 au 3 .Ni simple sana ..Soma Qur an uelewa hapo ukileta tafsiri tofauti utajichanganya.
Nisome Nini Tena?
Jibu hoja iko mezani
Soma sana sio jibu
 
Hivi ni wapi walifanya mgawo wa urithi halafu wakakuta makosa kama uliyoyakuta wewe ๐Ÿ˜ƒ
Swali zuri:
Wanazuoni bร ada ya kuona hiyo changamoto wakaja na namna ya kuisawazisha.
Hivyo zikaibuka njia tofauti za kutatua Hilo.
Sunni wakaja na njia yao na Shia wakaja na njia yao
 
Kasome kwenye manuscript

Unajua Quran ni kitabu wanatumia Hadi waganga wa kienyeji
Ilikuwaje kwanza mpaka biblia ikashindwa kutambua kuwa hakuwa farao na wewe mwenyewe umekiri ๐Ÿ˜ƒ
 
Swali zuri:
Wanazuoni bร ada ya kuona hiyo changamoto wakaja na namna ya kuisawazisha.
Hivyo zikaibuka njia tofauti za kutatua Hilo.
Sunni wakaja na njia yao na Shia wakaja na njia yao
Swali ni lini makosa yalibainika
 
MUHAMMAD ALIKUWA ANAJITUNGIA kila kitu anachoona kinamjia kichwani
Suratul An-najm Qu'ran(53-3,4)

3. Wala hatamki kwa matamanio

4. Haya kuwa haya ila ni ufunuo ulio funuliwa.
 
Swali zuri:
Wanazuoni bร ada ya kuona hiyo changamoto wakaja na namna ya kuisawazisha.
Hivyo zikaibuka njia tofauti za kutatua Hilo.
Sunni wakaja na njia yao na Shia wakaja na njia yao
Uislamu una vituko sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kuna wanazuoni wengine wanaruhusu kuwaingilia nyuma wake zao wengine wanakataa
 
Na biblia hiyohiyo inayojua kuwa kiongozi wa Misri kipindi cha Yusuf alikuwa ni farao ๐Ÿ˜ƒ
Mkuu Farao ni cheo, ni kama huku Tanzania tunavyosema Rais. Sasa huyu Rais anakua na jina, Rais Samia, Rais Jakaya nk

Kwa ulichozungumza wewe ni sawa na kusema, kiongozi wa Tanzania kipindi cha Tundu Lissu alikuwa ni Rais๐Ÿ˜„
 
Mkuu Farao ni cheo, ni kama huku Tanzania unavyosema Rais.

Kwa ulichozungumza ni sawa na kusema, kiongozi wa Tanzania kipindi cha Tundu Lissu alikuwa ni Rais๐Ÿ˜„
kwa mujibu wa mwenzio hamis77 anasema kuwa wakati wa Yusufu hakukuwa na cheo cha ufarao kwa kiongozi wa Misri hivyo anashangaa kuona kitabu fulani cha dini kinamtaja kiongozi huyo kama farao wakati kiuhalisia sio kweli
 
Mkuu Farao ni cheo, ni kama huku Tanzania tunavyosema Rais. Sasa huyu Rais anakua na jina, Rais Samia, Rais Jakaya nk

Kwa ulichozungumza wewe ni sawa na kusema, kiongozi wa Tanzania kipindi cha Tundu Lissu alikuwa ni Rais๐Ÿ˜„
Mzee waislamu elimu hawana hata kidogo hasa hii ya Secular ,

Manuscript ya biblia imetofautisha vzr

Kiswahili ndio kimeita kwa Cheo kama Farao ,

Kwahiyo huyu ni anatafuta kichaka maana hawezi kujibu maswali ya msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ