Quran ya Allah ni kitabu kisichokuwa na shaka

Umeanza hutaki ukweli lakini mimi nitaweka ushahidi wote potelea mbali ukikasirika uite utakavyo, kukubali na kukataa ni uamuzi wako

Fungulia Uzi wake.

Hapa ibaki na kuonekana kuwa haukuweza kujibu hoja zetu.
 
Mungu yupo kwa aliye na akili asiye na akili kama ulivyosema wewe kuwa huna husema Mungu hayupo
Hakuna sehemu nilikwambia Sina akili.

Wewe ndio ulianza kuniambia mimi, Sina akili.

Sasa wewe mwenye akili, thibitisha una akili.

Pia, thibitisha Mungu yupo na si hadithi uchwara za Biblia.
 
Fungulia Uzi wake.

Hapa ibaki na kuonekana kuwa haukuweza kujibu hoja zetu.
funguwa wewe ni naweka vitu suka au nyoa kazi kwako πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› Mimi nikifunguwa mnafunga nyuzi
 
Hakuna sehemu nilikwambia Sina akili.

Wewe ndio ulianza kuniambia mimi, Sina akili.

Sasa wewe mwenye akili, thibitisha una akili.

Pia, thibitisha Mungu yupo na si hadithi uchwara za Biblia.
Ndivyo msio na akili mlivyo mnasema hamna akili halafu mnakuja kurusha kuwa hukusema
 
Hakuna sehemu nilikwambia Sina akili.

Wewe ndio ulianza kuniambia mimi, Sina akili.

Sasa wewe mwenye akili, thibitisha una akili.

Pia, thibitisha Mungu yupo na si hadithi uchwara za Biblia.

kwani infropreneur yupo hata nithibitishe
 
Ndivyo msio na akili mlivyo mnasema hamna akili halafu mnakuja kurusha kuwa hukusema
Another petty bloated brat throwing tantrums.

Find someone of your league to parallel your mediocrity.

Halfwit bastard.
 
Kwamba Mungu asubiri miaka 600+ abuni dini mpya inayojikanganya na kupinga mengi ya dini ilizokuta, mbaya zaidi atumie muarabu aliyekua anadinya katoto Aisha kakiwa na umri wa miaka tisa uchafu wote huo unasababisha kichefu chefu cha kutapikisha
 
Kwani wewe ungali unamsubiri yule alikidinya katoto cha kiume kule vichakani Gesthemane alfajiri akakamatwa na kuitupa chupi iliyokuwa begani?
 
Sawa . Hapa tunaeleweshana.. Naomba Nionyeshe huo mstar ambao unasema " aya za quran baada ya kuandikwa mtume akawa anasomewa na kuhakikisha kuwa yaliyoandikwa ni sawa".
Si usome hiyo 25:5,kwani wewe umeelewa nini hapo?..'kuandikisha' maana yake anawaambia waandike,kama kiswahili hujui tafuta tafsiri ya kiingereza
 
Inasemaje kuhusu HAKI v AMANI,huwa mnasema kitabu kimekamilika!
 
Kwa hiyo visa vyao ambavyo tayari vilikuwepo walikuwa wanaviuliza then vikaandikwa kwenye Quran baada ya kuwa vinaulizwa? Hivyo visa vilikuwepo na viliandikwa na mtume alivikuta
 
Ariel = "Lion of God,
Sawa najua hilo kua Ariel ni Lion of God yaani Mji wa Jerusalem,mpaka umeenda kugugo maana ya jina hahaha enhee ndio nakuuliza huo Unabii wa Mji wa Ariel una uhusiano gani na Muhammad?
Nataka majibu yenye logic bob!
πŸ˜…πŸ˜…
 
Ndiyo nimeanza kukuletea historia ya hiyo Isaiah kwa jumla nafikiri umeona post 172 , 173 na 180 naendelea kutayarisha zaidi
 
Ariel = "Lion of God,
Sawa najua hilo,mpaka umeenda kugugo maana ya hahaha enhee ndio nakuuliza huo Unabii wa Mji wa Ariel una uhusiano gani na Muhammad?
Nataka majibu yenye logic bob!
πŸ˜…πŸ˜…
Ndiyo nimeanza kukuletea historia ya hiyo Isaiah kwa jumla nafikiri umeona post 172 , 173 na 180 naendelea kutayarisha zaidi
Umejibu nini kwenye hizo posti?
Maana nimeona tena unaanza kukana kwamba unabii wa isaya na kitabu chake ni fake na bla bla nyingi hujajibu swali bob nauliza tena Unabii juu ya mji wa Arieli una mahusiano gani na Muhammad?
 
Mbona unakuja kwenye hitimisho hata sijaanza bado kwani hii niliileta zamani na ina pages nyingi tu ni uchunguzi kuhusu hiyo isaiah29 Uwe na subira Kama unautafuta ukweli
 
Hilo andiko la Mathayo 28:19 "Enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa Wanafunzi.." unalielewa lakini we Kobaz? I can boldly claim mimi ni Mwanafunzi wa Yesu kupitia andiko hilo. Yeyote anayempokea Yesu, anafanyika kuwa Mwanafunzi wa Yesu na siyo wa mtu fulani aliyemhubiria injili. Kwahiyo ni sahihi kwa Paulo kuitwa Mwanafunzi wa Yesu hata kama hakuwa miongoni mwa wale 12.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…