Quran yachomwa moto Sweden

Waislam dunia nzima tuandamane.
Kwanini huyu Kafir kachoma kitabu cha Allah.
 
Biblia siyo kitabu Cha kuaminiwa kutokana na namna maandiko yake yalivyo pokewa na kuandika.

Nini maana ya Nabii, tuanzie hapa. Kwenye Biblia Luti ameongelewa wapi na wapi na alikuwa anafanya kazi gani ?

Kutokuficha mambo si hoja ya kuwa ni sahihi sababu kimeandikwa na watu ambao hawakuwaona hao watu na hawana Chain inayo fika hao watu. Mfano Marko na Luka Hawa hawakumuona Yesu wala hakuna Chain ya upokezi wa habari inayofika kwa Yesu Toka kwao, vipi habari zao mnaziamini na habari za Yesu walizopata wapi ? Ushawahi kuniuliza hili swali ?

Kwa mujibu wa Biblia Nabii ni nani ? Ili tujue Luti ni nabii au siyo nabii ?

Hii aya yako naomba uithibitishe kwa mujibu wa maandiko yenu na Qur'aan, kisha onyesha wapi Allah ameruhusu dhambi na utuonyeshe Mtume wapi alifanya dhambi.
 
Amekwambia nani ya kuwa hiyo ziada ni Allah ? Na hiyo sentensi yako inaleta vipi maana kwa hicho ulichokiweka ?
 
Muhammad had a female slave with whom he had intercourse,
Safi kabisa haya maneno umeyapata wapi ? Tuweke na matini yake ya Kiarabu.
Akawa wake zake Aisha (mtoto wa miaka 9)
Tuweke ushahidi unao onyesha kipindi cha tukio hilo mama Aisha alikuwa na Miata 9.
Sasa jambo ambalo tayari amehalalishiwa vipi liwe zinaa ? Kijana unatumia nini kufikiria ?

Zinaa ni kile kilichokatazwa kinapo ruhusiwa haliwi dhambi tena.
Jambo liko wazi aliambiwa hivyo kwa kutaka kuwaridhisha wake zake na hili ni kosa. Sababu kile ni hali kwake.

Turudi katika hoja ya msingi usahihi wa maandiko yenu, huku tunarudia yale yale ambayo nishawahi kukujibu kitambo na hukuwa na majibu wala hoja ajabu unarudia yale yale kila siku.

Kwanini tuiamini Biblia wakati imeandikwa kipindi ambacho Yesu hayupo...?
 
Biblia pekee ndio kitabu chenye Maneno ya Mungu wa kweli. labda nikusaidie tu, Lutu alikuwa mpwa wa Ibrahim, Ibrahim alimlea na kufanikiwa kuwa na wanyama wengi sana, kwani watu hawa walikuwa wafugaji. wala hakuwa nabii, alikuwa mtu tu na alipona mengi kwasababu ya Ibrahim. kuna kipindi baada ya utajiri wa mifugo kuwa mkubwa, maeneo ya kuchunga yakawa machache, wafugaji wa mfugo ya Ibrahim wakawa wanagombana na wafugaji wa mifugo ya Lutu, ndipo Ibrahim akamwambia Lutu kwamba achague bonde analotaka aelekee ili kuamua ugomvi huo, Lutu akachagua bonde lililokuwa limenona sana lenye maji na utajiri wa nyasi, lilikuwa bonde la sodoma na gomora. Ibrahim akabaki bonde lingine. hakujua kuwa huko alikochagua ndiko siku moja Mungu atakuadhibu na kukuteketeza, alikuka kukimbia yeye peke yake na mabinti zake wawili tu (baada ya mkewe kugeuka jiwe la chumvi hadi leo lipo),mifugo na vyote viliteketea kule sodoma na gomora.

baada ya kukimbilia mbali na mabinti zake, wao wakasema hapa hatuna uzao, ngoja tumpe kileo baba tufanye naye mapenzi tumzalie kuleta kizazi. wakafanya hivyo, na wakazaa watoto. watoto hao ni WAMIDIAN na WAADOMU, ambao ni makabila yapo around Jordan huko na maeneo ya juu yake, hao ni uzao wa laana na wote unajua kitu gani wanakiabudu.

ukweli ni kwamba, kuanzia Ibrahim hadi leo, vitu vyote ambavyo vimetajwa kwenye Biblia upo ushahidi. hekali kaburi la Absalom mtoto wa Daudi hata ukienda Israel leo utaliona, lipo, sehemu hekalu la suleiman alijenga ipo pale kwenye wailing wall. ila kwa vitabu vingine, yanayokumbukwa ni namna tu walivyochinja watu kuwalazimisha kuamini wanachokiamini ila vitu halisi ni vya kufikirika tu. usifananishe Biblia na vitu visivyo eleweka.
 
Tz tunaishi waislam na wakristo kwa upendo nashangaa kuona mkristo akimchukia muislam kwenye mitandao na akati anaishi nae mtaani na huenda marafiki zake wengi Ni waislam ..me muislam siezi unga mkono muislam mwenzangu kuchoma biblia Ni ujinga na upumbavu .
 
Safi kabisa. Kwahiyo hapo ndiyo habari za Luti zimeisha kwa mujibu wa Biblia.

Nitajie maneno mawili au maandiko tu Toka kwenye Biblia ambayo ni Maneno ya Mungu.

Umesema Biblia imeandika habari za kweli. Tuanzie hapa, habari za Luti zimeandikwa na nani kwenye hiyo Biblia ?

Pili, mtu wa kawaida ilikuwaje akabakia yeye na mabinti zake na wengine kuangamizwa ?

Tatu, huko aliko kimbilia alijuaje kama ni salama angalia si nabii ni mtu wa kawaida ?
 
Acheni unafiki wa kijinga kila cku mnaleta mijadala ya kupingana kidini alafu mtaani mnaishi pamoja huo Ni unafki kama muislam anachukia wakristo bhc na mtaani na kazin awe na hao waislm wenzake tuh. Na wakristo ivo ivo....maana kila cku mnaleta mada za chuki afu mnaishi pamoja
 
kwani allah hana huruma? huwa hasamehi? yeye ukitenda tu kosa anacho cha kumfanya mtu?


Allah anatenda kwa kila mtu awe mwema au mbaya, mwema atamlipa wema na mbaya atamlipa ubaya lakini pia anaweza kumsamehe huyo mbaya kwani Yeye Allah ni msahemevu na mrehemevu pia.
 


Kwanini tuandikie wino uliokuwa ghali na mate ya bure yapo?!!.

Tafuta Qur'an na uichome moto kama alivyofanya huyo jamaa na kipindi unaichoma tia nia ya hayo maneno yako ya; "vita vya miungu", isitoshe tangaza hadharani chochote kitakachokupata kiwe ni ishara kwa watu ili wajue kwamba Qur'an ni kitabu cha Allah Muumba wa mbingu na nchi na kila kilichomo.

Nasema hivi; Ukisalimika basi wewe utakuwa ni Majnuun kwani Allah hawezi kumuadhibu mtu "majnuun" kwani mtu huyo anaoudhuru wa kutokuadhibiwa.
 
Hupatwi na lolote,kama unabisha uje nao tuwe mtu bee tufanye experiment
 
Kwanini wewe usijibu nukta moja baada ya nyingine kutupa faida sisi wasomaji?
 
Sisi tumehifadhi Quran moyoni, hata wachome vyote moyoni tunayo.
 
Quran imeandikwa na watu ambao hata hawakumwona Mohammad, ilikuwa masimulizi tu, huko naamini wahuni waliandika na vya kwao.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini tuiamini Biblia wakati imeandikwa kipindi ambacho Yesu hayupo...?
Nakupuuza sababu wewe mpumbavu,

Muhammad kaandika kitabu kizima character wote hawapo aliwazaje?
 
Kwanini wewe usijibu nukta moja baada ya nyingine kutupa faida sisi wasomaji?
Lengo si nyinyi wasomaji, lengo ni yeye kwanza kumuonyesha uongo wake na kuwa na adabu na Elimu. Sababu ile imekuwa ndiyo tabia yake ya kuweka mambo ambayo hawezi kuyaelea.

Pili, nilijaribu kujibu nukta Moja baada ya nyingine huku nikimtaka aje kujibu maswali yangu na kutetea alichokiweka, akakimbia na kuonyesha wazi ya kuwa hakusoma zile anazo ziita ni "Contradictions" bali alighurika na "Titles" Kisha aka copy na ku paste. Sasa mijadala ya kielimu haiko hivyo. Itifaki inasema ya kuwa muwasilishaji hoja lazima aitetee hoja yake kinyume na hapo mjadala unakuwa haina maana.
 
Nakupuuza sababu wewe mpumbavu,

Muhammad kaandika kitabu kizima character wote hawapo aliwazaje?
Muhammad alikuwa Mtume na ni Nabii, walio andika Biblia hawakuwa mitume wala hawakuwa manabii wala hawakuwa wanafunzi wa Yesu.

Sasa jifunze kulinganisha mambo. Swali langu liko pale pale vipi Biblia uiamini wakati haikuandikwa kipindi Yesu yuko hai wala haikuandikwa chini ya Usimamizi wake ? Kwa minajili hiyo kwanini hamuihakiki Biblia ambayo imejaa uongo, uzushi, uzandiki, ushirikina na kuwatukana waja wema ?
 
Quran imeandikwa na watu ambao hata hawakumwona Mohammad, ilikuwa masimulizi tu, huko naamini wahuni waliandika na vya kwao.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Nimecheka sana, kwanini hamsomi vijana ? Mtume amekufa tayari Qur'aan imekamilika na imehifadhiwa kwa maandishi na imehifadhiwa kwenye vifua vya watu.

Bali kabla hajafa aliwaita waandishi wake alio wateua akawa anawasomea Qur'aan yote zaidi ya mara Moja kuhakikisha yote imekamilika.

Haya huyakuti kwa nabii ISSA (Yesu).

Swai nitajie watu wanne tu ambao waliandila Qur'aan na hawakumuona Mtume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…