Wewe nani alikwambia hawakuwa mitume na manabii,Muhammad alikuwa Mtume na ni Nabii, walio andika Biblia hawakuwa mitume wala hawakuwa manabii wala hawakuwa wanafunzi wa Yesu.
Huo uongo ni wewe unasema , nilikuuliza kuna mkristo gani anasema biblia ina uongo unarukaruka tuBiblia ambayo imejaa uongo, uzushi, uzandiki, ushirikina na kuwatukana waja wema ?
Ndio ilikamilika , sasa tuambie hizi aya zipo wapiNimecheka sana, kwanini hamsomi vijana ? Mtume amekufa tayari Qur'aan imekamilika na imehifadhiwa kwa maandishi na imehifadhiwa kwenye vifua vya watu.
Hhhhhhhhhh pole saaaanaaaHivi ni Kwanini Allah ndio awe wa mwisho kuingia Jehanam ?
Yaani atakapo ingia yeye ndio Jehanam itajaa na kufungwa.
Huku ikiimba Qat, Qat, Qat, yaani imetosha imetosha.
Hivi huyu ndio Mungu kweli wa kuijaza Jahanam ?
Sasa wanaomwamini wataenda wapi kama sio kumfuata huko Jehanam.
Surah Qaaf Ayah 30.
يَوۡمَ نَقُولُ لِجَهَنَّمَ هَلِ ٱمۡتَلَأۡتِ وَتَقُولُ هَلۡ مِن مَّزِيدٖ
Siku tutapo iambia Jahannamu: Je! Umejaa? Nayo itasema: Je! Kuna ziada?
(Hiyo ziada ndio Allah)
Biblia hii inomuita Mungu wenu ni mpumbavu ndo ina maneno ya kweli?Biblia pekee ndio kitabu chenye Maneno ya Mungu wa kweli. labda nikusaidie tu, Lutu alikuwa mpwa wa Ibrahim, Ibrahim alimlea na kufanikiwa kuwa na wanyama wengi sana, kwani watu hawa walikuwa wafugaji. wala hakuwa nabii, alikuwa mtu tu na alipona mengi kwasababu ya Ibrahim. kuna kipindi baada ya utajiri wa mifugo kuwa mkubwa, maeneo ya kuchunga yakawa machache, wafugaji wa mfugo ya Ibrahim wakawa wanagombana na wafugaji wa mifugo ya Lutu, ndipo Ibrahim akamwambia Lutu kwamba achague bonde analotaka aelekee ili kuamua ugomvi huo, Lutu akachagua bonde lililokuwa limenona sana lenye maji na utajiri wa nyasi, lilikuwa bonde la sodoma na gomora. Ibrahim akabaki bonde lingine. hakujua kuwa huko alikochagua ndiko siku moja Mungu atakuadhibu na kukuteketeza, alikuka kukimbia yeye peke yake na mabinti zake wawili tu (baada ya mkewe kugeuka jiwe la chumvi hadi leo lipo),mifugo na vyote viliteketea kule sodoma na gomora.
baada ya kukimbilia mbali na mabinti zake, wao wakasema hapa hatuna uzao, ngoja tumpe kileo baba tufanye naye mapenzi tumzalie kuleta kizazi. wakafanya hivyo, na wakazaa watoto. watoto hao ni WAMIDIAN na WAADOMU, ambao ni makabila yapo around Jordan huko na maeneo ya juu yake, hao ni uzao wa laana na wote unajua kitu gani wanakiabudu.
ukweli ni kwamba, kuanzia Ibrahim hadi leo, vitu vyote ambavyo vimetajwa kwenye Biblia upo ushahidi. hekali kaburi la Absalom mtoto wa Daudi hata ukienda Israel leo utaliona, lipo, sehemu hekalu la suleiman alijenga ipo pale kwenye wailing wall. ila kwa vitabu vingine, yanayokumbukwa ni namna tu walivyochinja watu kuwalazimisha kuamini wanachokiamini ila vitu halisi ni vya kufikirika tu. usifananishe Biblia na vitu visivyo eleweka.
Hupatwi na lolote,kama unabisha uje nao tuwe mtu bee tufanye experiment
Ziada ni AllahHhhhhhhhhh pole saaaanaaa
Ww utakua ushaingia zamani sanaa kma usiposilimu
Na hiyo ziada umeitoa kwenye tafsiri ya kitabu gni au akili zako ndo zilokutuma ivo?
Kama lengo sio sisi wasomaji basi ungeenda kumjibu PM huko ambako wasomaji hatuna accessLengo si nyinyi wasomaji, lengo ni yeye kwanza kumuonyesha uongo wake na kuwa na adabu na Elimu. Sababu ile imekuwa ndiyo tabia yake ya kuweka mambo ambayo hawezi kuyaelea.
Pili, nilijaribu kujibu nukta Moja baada ya nyingine huku nikimtaka aje kujibu maswali yangu na kutetea alichokiweka, akakimbia na kuonyesha wazi ya kuwa hakusoma zile anazo ziita ni "Contradictions" bali alighurika na "Titles" Kisha aka copy na ku paste. Sasa mijadala ya kielimu haiko hivyo. Itifaki inasema ya kuwa muwasilishaji hoja lazima aitetee hoja yake kinyume na hapo mjadala unakuwa haina maana.
Safi kabisa, thinitisha ya kuwa hao walio andika Biblia walikuwa mitume au manabii. Kisha utuambie kwa mujibu wa Biblia yenu inasemaje kuhusu utume na unabii.Wewe nani alikwambia hawakuwa mitume na manabii,
Mimi mwenyewe simtambui Muhammad kama mtume maana kajipa mwenyewe hakuna shahid yeyote aliona wala kusikia aliyoyadai ,
Wapi nimeruka ruka wakati nilikujibu zaidi ya mara Moja ya kuwa mtajuaje kama ni uongo wakati hamuhakiki maandiko yenu ? Hali ya kuwa mnajua kabisa Kuna maandiko yapo hawajulikani wa kina nani waliyaandika. Ndiyo maana Biblia haiwezi kuwa ni kitabu kitukufu kuanzia katika namna ya uandishi wake.Huo uongo ni wewe unasema , nilikuuliza kuna mkristo gani anasema biblia ina uongo unarukaruka tu
Ila waislamu mnasema maandiko yenu yana uongo ni nyie wenyewe mmeweka uongo kwenye vitabu vyenu
Hili unalirudia zaidi ya mara mbili na nimeshakujibu.Ndio ilikamilika , sasa tuambie hizi aya zipo wapi
Aisha anakiri aya za kupiga mawe na kunyonyesha mtu mzima zilikuwepo mpaka kifo cha muhammad , muhammad kafa aya zipo na aisha anasema zililiwa na mbuzi lakini watu walikuwa wamezikariri,
- sasa ujibu nani kaziondoa kwenye koran
- Aishah said: “The Verse of stoning and of breastfeeding an adult ten times was revealed1, and the paper was with me under my pillow. When the Messenger of Allah died, we were preoccupied with his death, and a tame sheep came in and ate it.” Sunan Ibn Majah 1944
- Sahih Muslim 1452a 'A'isha (Allah be pleased with, her) reported that it had been revealed in the Holy Qur'an that ten clear sucklings make the marriage unlawful, then it was abrogated by five sucklings and Allah's Apostle (ﷺ) died and it was before that time (found) in the Holy Qur'an (and recited by the Muslims).
- Sahih Muslim 1452b ...There was revealed in the Holy Qur'an ten clear sucklings, and then five clear (sucklings)
Hakuna haja ya kwenda PM sababu ameweka hadharani na mimi naweka hadharani.Kama lengo sio sisi wasomaji basi ungeenda kumjibu PM huko ambako wasomaji hatuna access
Kwamba una amini huo uwongo ameuandika kwa bahati mbaya thats why unataka kumuonesha?
Kwamba haikuwa lengo lake kuleta habari za uongo ndio maana umeona haja ya kumuonesha mahali uonho ulipo?
Kwasababu yeye ameweka hadharani na wewe unataka kujibu hadharani, tuambie hayo majibu tuyategemee kuyaona lini maana mpaka muda huu hakuna sehemu umejibu hoja zake zaidi ya ahadi hewa?Hakuna haja ya kwenda PM sababu ameweka hadharani na mimi naweka hadharani.
Ameandika makusudi kwa sababu hajui kama alichokiandika ni uongo bali anaamini ni ukweli. Katika Elimu haya mambo yapo sana.
Aya ya pili umerudia kile ulichokiandika katika aya ya juu yake.
Umedai koran uliyonayo leo imekamilika , nimeuliza swali dogo tu jibu acha kukimbia kizembe, najua ukiona kingereza unaweweseka ila jitaidiHili unalirudia zaidi ya mara mbili na nimeshakujibu.
Hukuna shaidi juu ya utume wa Muhammad , jifunze kidogoSisi tunasema hivyo sababu Mtume alituachia misingi
Labda uniambie nijibu mara ngapi, muulize muhusika, kilimtokea nini nilipo anza kumjibu kuhusu aya za kuumbwa adamu ambazo alizi copy na kupaste kadhalika muulize nilimfanya nini pale alipo sema yeye anayo nakala ya tarjama ya Qur'aan ya Yusuf Ali na picha yake akatuwekea.Kwasababu yeye ameweka hadharani na wewe unataka kujibu hadharani, tuambie hayo majibu tuyategemee kuyaona lini maana mpaka muda huu hakuna sehemu umejibu hoja zake zaidi ya ahadi hewa?
Humo hakuna hoja kijana.Hukuna shaidi juu ya utume wa Muhammad , jifunze kidogo
Hilo swali dogo nimeshakujibu zaidi ya mara ngapi au Leo hii ndiyo mara ya kwanza kuuliza ? Nataka kujadiliana na watu wakweli na wenye kutaka kujifunza. Rejea mijadala ya nyuma usome majibu niliyo kupa.Umedai koran uliyonayo leo imekamilika , nimeuliza swali dogo tu jibu acha kukimbia kizembe, najua ukiona kingereza unaweweseka ila jitaidi
sasa tuambie hizi aya zipo wapi
Aisha anakiri aya za kupiga mawe na kunyonyesha mtu mzima zilikuwepo mpaka kifo cha muhammad , muhammad kafa aya zipo na aisha anasema zililiwa na mbuzi lakini watu walikuwa wamezikariri,
- sasa ujibu nani kaziondoa kwenye koran
- Aishah said: “The Verse of stoning and of breastfeeding an adult ten times was revealed1, and the paper was with me under my pillow. When the Messenger of Allah died, we were preoccupied with his death, and a tame sheep came in and ate it.” Sunan Ibn Majah 1944
- Sahih Muslim 1452a 'A'isha (Allah be pleased with, her) reported that it had been revealed in the Holy Qur'an that ten clear sucklings make the marriage unlawful, then it was abrogated by five sucklings and Allah's Apostle (ﷺ) died and it was before that time (found) in the Holy Qur'an (and recited by the Muslims).
- Sahih Muslim 1452b ...There was revealed in the Holy Qur'an ten clear sucklings, and then five clear (sucklings)
Sasa kama umejibu, ulikuwa na haja gani ya kuahidi kuwa utamjibu hadharani wakati ushamjibu?Labda uniambie nijibu mara ngapi, muulize muhusika, kilimtokea nini nilipo anza kumjibu kuhusu aya za kuumbwa adamu ambazo alizi copy na kupaste kadhalika muulize nilimfanya nini pale alipo sema yeye anayo nakala ya tarjama ya Qur'aan ya Yusuf Ali na picha yake akatuwekea.
Kingine majibu hayo naweza kuyatoa popote na muda wowote. Ila nisicho taka mimi ni mtu kukimbia mjadala na kutokujibu maswali kadhalika kutokuwa mkweli.
Kwahiyo msitutanye sisi wajinga kama mlivyo nyinyi watu wa kukimbia hoja na maswali na kuwapotezea watu muda.