Hujawahi kujibu , na hakuna muislamu amewahi kujibuHilo swali dogo nimeshakujibu zaidi ya mara ngapi au Leo hii ndiyo mara ya kwanza kuuliza ? Nataka kujadiliana na watu wakweli na wenye kutaka kujifunza. Rejea mijadala ya nyuma usome majibu niliyo kupa.
Sasa hivi nataka hoja mpya. Naona umekimbia maswali yangu juu ya ukweli kuhusu Biblia.
Haya sasa sijui hapo wewe ni yupikafumuaneni marinda huku mkisubiri mabikra 72
Tuliza akili nimetoa wapi hiyo ahadi ?Sasa kama umejibu, ulikuwa na haja gani ya kuahidi kuwa utamjibu hadharani wakati ushamjibu?
Hili nimeshakujibu. Unatumia rudia.Kuhusu biblia nimekwambia leta wakristo wanaosema ni uongo umeshindwa!
Sasa tatizo liko wapi ? Ndiyo ujue ya kuwa Maandiko ya Uislamu yamehifadhiwa mpaka kujua lipi la uongo na lipi sahihi maana ni hifadhi hiyo. Sasa kwenu hili na huku uhalisia maandiko yenu zaidi ya asilimia 70 ni uongo. Lakini hamna muda wa kuhakiki sababu hiyo misingi hamna.Maandiko ya waislamu ni waislamu wengi tu wanasema kuna maandiko ya uongo ndani ya vitabu vinavyoitwa sahih , mpaka wewe umekiri na wengi humu wanakiri kuna uongo kwenye maandiko ya waislamu
Tumemaliza , waislamu ndio mnamaandiko ya uongo mkiwa mmeyaweka kwenye vitabu mnaviita sahih laikini ndani yake kuna uongo mkubwa , ni nyie wenyewe mmekiri , case closedSasa tatizo liko wapi ? Ndiyo ujue ya kuwa Maandiko ya Uislamu yamehifadhiwa mpaka kujua lipi la uongo na lipi sahihi
Kingine usicho kijua ni kuwa hakuna kitabu kingine sahihi zaidi hapa duniani baada ya Qur'aan ni Sahihi Al Bukhari. Sasa jiulize mtu ambaye amenukuu Hadithi zaidi Elfu Hadithi dhaifu hazizidi 40. Jiulize huyo ni mtu wa aina gani ukiangalia sisi wanadamu tuna madhaifu mengi sana.Tumemaliza , waislamu ndio mnamaandiko ya uongo mkiwa mmeyaweka kwenye vitabu mnaviita sahih laikini ndani yake kuna uongo mkubwa , ni nyie wenyewe mmekiri , case closed
Kuwashahuri tu kaeni chini mtengeneze kitabu sahih cha sahih kisiwe na uongo ndani maana mpaka sasa ungo bado upo
Ni fedhea kubwa kwa waislamu mnakiri hadharani vitabu vyenu vina uongo mkubwa ndani yake , kumbuka ni waislamu wenyewe na sio imani nyingine , mpaka humu ndani mpo andiko lenu likiweka mnasema wazi ni la uongo ila lipo kwenye kitabu sahih , nifunge hoja kwa hili karekebisheni uongo wenuSasa mkiona mmekaa tu hamjishughulishi na kuhakiki maandiko yenu ni ishara ya kuwa nyinyi na Wanyama (Hayawani) hamna tofauti yaani hamna akili.
Hii ni quote yakoTuliza akili nimetoa wapi hiyo ahadi ?
Kijana mbona unarudia rudia jambo ambalo liko wazi ? Hiyo ndiyo tofauti yetu na nyinyi.Ni fedhea kubwa kwa waislamu mnakiri hadharani vitabu vyenu vina uongo mkubwa ndani yake , kumbuka ni waislamu wenyewe na sio imani nyingine , mpaka humu ndani mpo andiko lenu likiweka mnasema wazi ni la uongo ila lipo kwenye kitabu sahih , nifunge hoja kwa hili karekebisheni uongo wenu
Sasa ahadi Iko wapi ? Unajua Kiswahili ? Au una Elimu yoyote kuhusu lugha ? Hiyo kauli inaongelea wakati gani ? Uliopo ujao au uliopita au Amri ?Hii ni quote yako
Hakuna haja ya kwenda PM sababu ameweka hadharani na mimi naweka hadharani.
Wapi ulipoiweka hoja hadharani?Sasa ahadi Iko wapi ? Unajua Kiswahili ? Au una Elimu yoyote kuhusu lugha ? Hiyo kauli inaongelea wakati gani ? Uliopo ujao au uliopita au Amri ?
Kijana siyo kila mtu wa kujadiliana nae, ukijadiliana na mimi hakikisha mambo ya lugha unayazingatia.
Jibu maswali niliyo kuuliza. Huu utoto ndiyo huwa siutaki. Umesema nimeahidi.Wapi ulipoiweka hoja hadharani?
Na nimekuoneshea uliposema unaiwekaJibu maswali niliyo kuuliza. Huu utoto ndiyo huwa siutaki. Umesema nimeahidi.
Rekebisha kwanza uliposema nimeahidi. Usilete utoto kijana. Kisha jibu maswali niliyo kuuliza.Na nimekuoneshea uliposema unaiweka
Sasa mimi sijaona hapo ulipoiweka ni wapi, ndio maana nakuuliza wapi ulipoiweka hafharani kama ulivyosema?
Sirekebishi,Rekebisha kwanza uliposema nimeahidi. Usilete utoto kijana. Kisha jibu maswali niliyo kuuliza.
Majibu ya maswali yako au swali lako rejea pale ulipo ni nukuu kwa mara ya kwanza.
Nimecheka sana, shida ya kujadiliana na watu ambao hamjabalehe katika hoja na kujenga hoja.Sirekebishi,
Kwasababu ili isionekane ni ahadi unatakiwa uoneshe wapi umetoa majibu uliyosema unayatoa hadharani
Mpaka muda huu hakuna sehemu uliyotoa majibu ya hoja ulizosema unatoa hadharani
that's is not only a promise but a fake promise
Sasa hapo unakuwa umeandika nini?Nimecheka sana, shida ya kujadiliana na watu ambao hamjabalehe katika hoja na kujenga hoja.
Nikikuuliza ahadi ipo katika wakati gani ? Hujajibu hili swali siyo kwamba unaweza bali huwezi kujibu.
Ulitakiwa usome nilichokiandika kilikupa jibua swali ulilo uliza Sasa lakini kwa ujinga na ujuaji wako hukuona jibu. Nilipo kupa dondoo za majadiliano huko nyuma maana yake nishamjibu zaidi ya mara Moja, ndiyo maana nikakuwekea nukta husika.
Shida ya kuparamia na vitu kichwa mchunga, yule mdau nilimpa muongozo namna nzuri ya kujadiliana na muhusika sababu namjua. Sasa uwe unasoma na kudhibiti mjadala au hoja wapi imetoka, ungekuwa makini usingeuliza maswali ambayo majibu yake yapo tayari.
Acha kupotezea watu muda.
Poa.Sasa hapo unakuwa umeandika nini?
Unakubali ulichokiandika ni ahadi ila umekomaa kwenye wakati, does it matter?
Nimekupa challenge ndogo tu hapo kuwa ili kauli yako isionekane ni ahadi basi kwenye post yako ile ile onesha paragraph ulipojibu hoja hadharani za mdau kama ulivyosema
Hilo limekushinda...
Bro hata Indonesia walichoma Bible kibao back in the dayz au umesahau????????? Duniani kuna watu hawapendi dini za wenzao!!!!Wakristo hawawapendi waislamu na waislamu hawawapendi wakrsto tunaishi kinafiki!!!Huo ndio ukweli japokua watu wengi wanaukataa!!!!!!Unafiki na chuki na ubaguzi ndio sifa kuu ya sisi wanadamu wa dunia hiiMwanasiasa mmoja nchini Sweden kachoma quran mbele ya balozi wa uturuki.
https://www.facebook.com/Kitendo hicho kimewakasirisha watu hasa RAIA wa uturuki mpaka kusababisha watu kuchoma Bendera ya sweden