Quran yachomwa moto Sweden

Quran yachomwa moto Sweden

Unaongea vizuri ila chini ulitaka kuharibu ulipo sema kuhusu mashia kama ni kweli

Tutaanza kubishana pasi na msingi.

Madam umesema kua hayo ni makanisa ya wahuni basi Amin pia hio hadithi inayo muhusu sahaba ni ya wahuni pia.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nimesema kama ni kweli Kwa sababu habari hiyo ndio nimekutanana nayo Leo,sijajua chimbuko lake na Wala sijaelewa liko kweli au watu wame frame tu kuuchafua uislamu,kama ilivyo pia Kwa watu ku frame na kuchafua Imani zingine ikiwemo ukristu.
Wewe na waislamu wengine wabobevu ndio mnalojukumu la kutoa ilimu au elimu kuhusu jambo kama Hilo na mengine yanayopotosha kuhusu uislamu.
Ila juu ya yote mwamba ngoma siku zote huvutia kwake,kama ilivyo kwenye mjadala huu na mingine kama hii ambayo Mimi naona badala ya kukubaliana kutokukubaliana watu wanaishia kutukanana.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ok jambo zuri basi hawa mashia hawana sahaba wanae mkubali hata mmoja isipokuwa watu wa ukoo wa mtume tu.
Kitu ambacho kinapingana na quran na hadithi sahihi.

Na ndio maana hawa jamaa wana hadithi nyingi mno za uzushi zaidi hata laki moja.

Na wanazitumia kutengezea watoto zao ili kuwaona masahaba wa mtume kua hawafai.

Na kutokukubalina katika mijadala kama hii sababu kubwa wengi hulazimisha lile lisilo sahihi kua ndio sahihi tena kwa gharama yoyote ile.

Mfano ndugu hapo umekubali na umeelewa kuhusu upotofu wa mashia na mimi nikakubali kuhusu makanisa yasiyo ya dini
We unadhani hapo kutakuwa na kutukanana tena
Ila kama tungeanza kubishana naamini mpaka huyo Mungu sahizi angesha ambulia matusi.

Kikubwa tujadiliane kwa kuelimishana kama hivi inapendeza isitokee wa dini yoyote kuanza kumdharau mwenzie.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ukiwa na akili timamu usiingilie imani za watu. Aliyefanya hivyo huenda kichwani kajaza matope badala ya akili.
Waliojaza matope badala ya akili ni wanaodhuru watu wengine kwa sababu ya hisia za dini zao.
 
Vijikulani vinavyochomwa bila media kuangazia ni vingi mno na wachomaji wako fresh tu
 
Ok jambo zuri basi hawa mashia hawana sahaba wanae mkubali hata mmoja isipokuwa watu wa ukoo wa mtume tu.
Kitu ambacho kinapingana na quran na hadithi sahihi.

Na ndio maana hawa jamaa wana hadithi nyingi mno za uzushi zaidi hata laki moja.

Na wanazitumia kutengezea watoto zao ili kuwaona masahaba wa mtume kua hawafai.

Na kutokukubalina katika mijadala kama hii sababu kubwa wengi hulazimisha lile lisilo sahihi kua ndio sahihi tena kwa gharama yoyote ile.

Mfano ndugu hapo umekubali na umeelewa kuhusu upotofu wa mashia na mimi nikakubali kuhusu makanisa yasiyo ya dini
We unadhani hapo kutakuwa na kutukanana tena
Ila kama tungeanza kubishana naamini mpaka huyo Mungu sahizi angesha ambulia matusi.

Kikubwa tujadiliane kwa kuelimishana kama hivi inapendeza isitokee wa dini yoyote kuanza kumdharau mwenzie.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ni vizuri sana kuheshimiana na kuelimishana maana matusi hayajengi bali yanabomoa tu,yanabomoa mahusiano mema na yanabomoa pia ufahamu tulionao ambao ni bado ni uhusiano Mwema tu.
Kwa sababu hata sisi waumini wa hizi dini sasa hivi tukishambuliana Kwa matusi na kejeli utakuja kushangazwa na hekima na mahusiano na heshima waliopeana manabiii na mitume wa zamani Kwa wapagani wa kipindi hicho na kama kulikuwa na visa na Mikasa ya mapambano basi palikuwa na sababu mujarabu Kabisa Kwa nini mapambano yalitokea.
Lakini Kwa dunia ya sasa na maisha tunayoishi yenye mwingiliano mkubwa wa makabila,tamaduni na desturi na Imani za dini mbali mbali si sahihi kutokuwa na heshima na utulivu Kwa sababu mwisho wa siku lazima tuishi Kwa utengamano Kwa kila mmoja kuwa mtulivu pasipo kumkanyaga mwingine pahala popote Kwa kejeli ama matusi ni vyema kama mmoja hajui au anayo maarifa basi akasema tu Mimi maarifa niliyonayo ni haya na watu wakajifunza au wakamkosoa Kwa utaratibu wa bila kuumizana.
Na kama mmoja hana maarifa au maarifa yake ni pungufu ni vyema akakubali kupewa habari sahihi kutoka upande husika wenye weledi mahsusi kuhusu jambo Fulani tunaloelimishana.
Lakini haya mambo ya kurukia tu na kuanza kejeli kama Yesu alikuwa mwizi tu,mara Mtume Muhammad alikuwa mzinzi tu mara Yesu karuhusu mashoga,mara Mtume Muhammad alikuwa ana maswahaba wanaoingiliwa kinyume pasipo kudhibitisha haya tunayoyapayuka Kwa hasira na dhihaka juu.
Kwa hakika hatumkosei Mwenyezi Mungu tu bali pia tunazikosea hata nafsi zetu pia.
Ukifanya jambo baya kwa mtu,ujue umefanya jambo baya kwa nafsi yako na akili yako pia.
Nayo ni nahisi tu kuropoka Hovyo Kwa dharau na kejeli.
Bora wenye hekima wakae pamoja wajitenge na wapumbavu maana upumbavu unaambukiza Kwa haraka sana na madhara yake yanatokea haraka sana.
Wenye kuwaza sawasawa Kwa pande zote mbili au tatu na zaidi, Waislamu,Wakristu,Imani zingine,na wale wasio amini kwenye uwepo wa Mungu lazima wajiheshimu ili waheshimiwe na wajue mipaka Yao inaishia pale mipaka ya wengine inapoishia.
Kama mtu anazo hoja mujarabu kuhusu Imani yake basi atuelimishe pasipo kutoa lugha kashfu.
Kuna muda unafika inakubidi useme mapungufu ya upande wa pili lakini inakugharimu nini kueleza Kwa lugha yenye stara,Kwa maana hapa ni kama Baraza na kwenye Baraza ama Shura ndugu zangu waislamu wanasema panakaa watu wenye utimamu wa akili.
Tumuombe sana Mwenyezi Mungu atuweke salama mpaka mwisho wa safari zetu.

Dah shukran sana mkuu Mungu atusaidie sote.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Waislamu wengi Sana hawajawahi kuisoma qur an na hawaijui, wamebaki na knowledge ya kusimuliwa tu na Hadith nyingi wanazoambiwa ni za kuwatia hofu.
Hofu: za ajabu mpaka Basi! Azabu za Kabuli ! Kauli Thabiti kabulini!!' Kama ilivyo USINGIZI! UKiwa umelala ujui kitu mpaka unaamka.. so Umauti ni Usingizi! Akuna Majoka au adhabu ya Kabari!! Uwe na Upendo! Wajali wapende wote! Akuna KAFIRI TANZANIA! Nyerere alishapotezea haya makitu$ Wewe abudu hoa ata wanawake 200' swali fanya yako!! Tanzania ata USA wanazima sigara au bange!!
 
Kwani mashia sio waislamu mbona wanaswali na kuadhini kama nyie au kwavile hawavai vipedo kama ninyi ?
Andika vitu kielimu usiwe kama zwazwa, nikikupa kazi uthibitishe haya unayo yaandika utaweza ? Jibu hutaweza Sasa kwanini unaandika vitu kichwa mchunga ?

Wakristo badilikeni aisee mnakuwa vituko kwa kutofatilia mambo kiundani.
 
Biblia tunatambua kuwa haijaandikwa na Mungu ndio maana huwezi kusikia tunaandamana kisa mtu kakojolea biblia ama kaichoma moto biblia.. wakristo biblia hata ukichana na kukojolea tunakupotezea tu.

Shida ni imani inayoamini kitabu chao kimeshushwa na mungu wao. Kina miujiza kibao. Ndio tunashangaa why huyo mungu wao aliekishusha hana nguvu ya kukilinda kitabu chake kisiwake moto

Kwa Muislam anaejua mafundisho ya Uislam, hawezi kuchoma Biblia, kwani ndani ya Biblia kuna jina Mungu limetajwa! Pamoja na kuchakachua kwenye agano jipya, as long Mungu katajwa, Uislam unakataza kuinajisi Biblia, na huo ndiyo umakini wa Uislam
 
Uturuki mbona yupo NSTO tayari, aliruhusu Sweden na Finland kujiunga pia NATO baada ya kukataa mwanzo

Sweden na Uturuki wana ugomvi wao ambao Uturuki anadai Sweden inaunga mkono waasi wa Ki Kurdi
Na Uturuki 🇹🇷 Wanadai Sweden 🇸🇪 wanahifadhi walio kula njama ya kuipindua serikali.
 
Huu ni uchokozi wa kijinga.. Mimi siamini Uislamu wala Ukristo ila uchokozi wa makusudi siungi mkono

Ni kweli Uchokozi na uchokonozi sio mzuri na haufai.
Ila kuna Mwaka hapa niliwahi kuwaambia kuwa ule uongo ati ukichoma au kukojokea Quran unadhurika nikawaambia ni uongo mkubwa wanaodanganywa wajinga. Watu wakabisha.

Nikawaambia kama wanabisha, walete hiyo Biblia na Quran nizichome au kuzikojolea alafu serikali inipe ulinzi tuone kama nitadhurika. Watu wakakalia ubishi

Kimsingi, mambo ya uongouongo yameiathiri Sana Dunia.

Ingawaje sio vizuri kudharau uongouongo WA Watu wanaouamini.
Ila haimaanishi kuwa kuthibitisha Jambo hili ni uongo au ni kweli kuwa ni dhambi au kosa
 
انا نحن نزلنا الذكر و انا له لحافظون

Al Hijr:9.

Ni Allah mwenyewe ndiye ajuaye atakachomfanya huyo mhalifu.

Hana huo ubavu huyo Allah wa kumfanya chochote huyo mchomaji.
Kwanza hayupo kwenye milki yake.
Huyo mchomaji anamungu wake,
Ili Allah amshughulikia huyo mchomaji itampasa apambane na mungu wa huyo mchomaji.

Inaitwa vita ya miungu.
Ni sawasawa na waarabu wakipambanaga na Israel. Inakuwa vita ya Yahweh Vs Allah.

Unafikiri ni rahisi mungu wako kushughulika na watu wenye miungu mingine?
 
Hasira ya kukataliwa kujiunga Nato na Uturuki wanahamishia kwenye mambo ya kidini..
tunazame nani muanzaj alafu pia tusihukumu kwa kutazama upande mmoja uturuki wana haki ya kufanya lolote baya kwa sababu kiongozi wa sweden kashindwa kuheshimu imani za watu wengine
 
Wakristo ambao mnasema nabii Luti alizini na watoto wake wa kuwazaa
Nani alikwambia Lutu ni nabii ? na nani alikwambia binadamu hatendi dhambi? biblia imeandika yaliyotendeka kama yalivyotendeka hakuna kuficha ficha kwenye biblia

hiyo sio Koran inayoficha alicho fanya Muhammad kwa Aisha katoto ka miaka 6 alikanajisi vibaya , kaiba mke wa mtoto wake allah kashusha aya kumsifia , kakamatwa anabaka mjakazi (maria the copt) allah kashusha aya kumruhusu kulala na wajakazi

Dhambi ni dhambi na ukisema huna dhambi unajidanyanya

1 Yoh 1:8-10 SUV​

Tukisema kwamba hatuna dhambi, twajidanganya wenyewe, wala kweli haimo mwetu. Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote. Tukisema kwamba hatukutenda dhambi, twamfanya Yeye kuwa mwongo wala neno lake halimo mwetu.
 
Andika vitu kielimu usiwe kama zwazwa, nikikupa kazi uthibitishe haya unayo yaandika utaweza ? Jibu hutaweza Sasa kwanini unaandika vitu kichwa mchunga ?

Wakristo badilikeni aisee mnakuwa vituko kwa kutofatilia mambo kiundani.
We nawe punguani kweli mnawakataa hao wenzenu kisa wamekuwa wakweli
 
Back
Top Bottom