R Kelly akimbilia maombi baada ya tuhuma dhidi yake za udhalilishaji kimapenzi kwa watoto kupamba moto

Hivi kwa usa music miguels ni wapi hasa,yani wanaoi run industry ,wazee wa figisu kiasi kwamba ukipishana nao haiwezi ku survive?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah asipo kuwa makini watamuharibia kinoma noma

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa wenyewe wanafanya what is best for bussness,kama hashikiki mikononi mwao maana yake ni kwamba hayuko relevant tena kwao wanachofanya ni kumwaga mbogo kupitia udhaifu wake mwenyewe,ambao ndo hayo mambo ya vitoto..ila jamaa nae anakula mno tutoto tudogo..kama bongo tu unapigwa mvua 30 jela na mbele watamfanya nini?.kufilisi+ 35 year in prison.duuh!!..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha hatari .... haya mambo ya kula vitoto mbona watu wengi wanafanya aisee ...ila ndio hivyo wakifika mbele ya camera wanajifanya ma-saint ...

Amini kwamba kila binaadamu ana kichaa chake ... shida inakuja pale unapo ruhusu kutawaliwa na hicho kichaa (udhaifu ),wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ni yako wewe sio sheria hiyo.

Jaribu kubaka au mpe mimba mwanafunzi halafu uende mahakamani ukajenge hoja hii uone itakuwaje. [emoji4]


Sent from my iPhone using JamiiForums
Sema ukweli Nifa huu mchezo uliuanza ukiwa na umri gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…