Sugar dady
Senior Member
- Dec 6, 2018
- 131
- 194
Hivi kwa usa music miguels ni wapi hasa,yani wanaoi run industry ,wazee wa figisu kiasi kwamba ukipishana nao haiwezi ku survive?Huyo jamaa ndio tabia yake ...hajaanza jana wala juzi ... alishawahi kukutwa na kashfa ya kutoka na late Aaliya akiwa bado ni under18 .... ila wakafanya figisu akakoswa koswa kupigwa na rungu la sheria ...
Hawa wasanii sio watu wakuwaamini kabisaa ..hata robo ..ni watu ambao huwa wana makando Makando mengi mnooo ...
Nimeona hapo juu kuna mtu aliongelea kuhusu Mj pindi alipo kuwa ana andamwa na kesi kama hiyo ... inawezekana pia hata yeye alikuwa anawafanya watoto wawatu vibaya who knows ... !!? Kinachotokea mara nyingi huwa pindi unapo pishana kimaslahi na watu ambao wameishika industry wanaamua " kuvujisha siri zako " ambazo wanazijua in and out ..ila awali kwakuwa walikuwa na maslahi na wewe " basi walikuwa wameamua kuegemea upande wako ambao ndio unafaida " ...so baada ya kutibuana nao wanaamua tu kumwaga mboga ...
R.Kelly nimteja huyo " tena ana smoke unga haswaa " so mnatarijia atakuwa na matukio ya namna gani "
Kulawiti na kubaka wamepaka ma -padre ashindwe kubaka R .Kelly yeye nani " !?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app