Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
- Thread starter
-
- #21
Mambo ya Bush hayo Missy, hakuna lodge kule, either maporini or mapagaleni, watu huwa wanagongwa sana na nyokaMume wa mtu na mke wa mtu..kwenye pagale..uroho mwingine hapana kwa kweli
Nimemwambia jamaa hapo juu kaniambia mimi mtoto mdogo sijui vituNatural disaster hiyo hakuna cha mke wa mtu.
Nadhan ni singida huko! Pole Hassani na R I.P VailethKwa wanaojiuliza ni wapi huko... Itakua ni kanda ya Ziwa mpaka itakapobainika sio [emoji1787][emoji1787]
Una chuki tu na lake zone yetu wewe.Kwa wanaojiuliza ni wapi huko... Itakua ni kanda ya Ziwa mpaka itakapobainika sio 🤣🤣
Atakuwa Nyumbu Gang huyo hahahaUna chuki tu na lake zone yetu wewe.
Kuwazw kuwa kuna radi za kichawi ndiyo utotoKwasababu bado mtoto mdogo ngoja tusikwmabie
Iliwezaje kupasua Mbususu kama alikuwa juu?Inaonekana mwanamke alikuwa juu
Kuloweka Shida SanaMmmmm mke wa mtu ni nuksi na kifo
Neutralduh......cjui nicheke cjui nihuzunike 🤔
Kuloweka Nuksi SanaMume wa mtu na mke wa mtu..kwenye pagale..uroho mwingine hapana kwa kweli
May be reverse cowgirl hahaha, au kichuma mboga!! Ila kwa uzoefu wangu kwenye pagale hakunaga mbwembwe, ni kifo cha mende cha fastaaMkuu, walikua staili gani hiyo hadi radi iue Mwanamke na kumuacha Mwanaume (Mwizi)?
Cowgirl position, sivyo?Inaonekana mwanamke alikuwa juu
Najaribu kuvuta picha..inagomaMambo ya Bush hayo Missy, hakuna lodge kule, either maporini or mapagaleni, watu huwa wanagongwa sana na nyoka
HakikaKuloweka Nuksi Sana