Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
- Thread starter
- #21
Mambo ya Bush hayo Missy, hakuna lodge kule, either maporini or mapagaleni, watu huwa wanagongwa sana na nyokaMume wa mtu na mke wa mtu..kwenye pagale..uroho mwingine hapana kwa kweli