Rafiki yako akimtongoza mke wako umfanye nini?

Mkuu mbona jibu ni rahisi mpigie simu au kutana nae umwambie laivu kabisa masuala ya kumtongoza mke wangu uache.
 

Very simple, akipiga pokea ongea kwa bashasha..
Mwishoni muulize..

Vipi shemeji yako bado anabana au amelegea?.
.
Kata simu akipiga usipokee
 
Mpuuze tu, wanawake ukiwaendekeza utagombana na kila mtu,na pia sisi wanaume tuna tamaa Sana, ni hulka yetu, labda Kama wewe Ni mtakatifu
 
Kaamua kusema labda kwa sababu ni rafiki yangu, hawezi kuniambia kila mtu wengine siwajui
Aisee uwe makini saaana katika hili kijana

Yawezekana mkeo luna mishe zake za kidwanzi kafanya na rafiko yako kazijua, ili kuepusha hilo kwani kama mnashibana akaona inshu ni kuwagombanisha na njia nzuri ni kusema anatongozwa.

Unaweza kuta jamaa anakukusanyia data nyingi ili ukija mkae kiume mzungumze na hataki kukupanikisha sasa mkeo kajua na anatafuta namna ya kumkwamisha jamaaa

Note:
Mwanamke wa busara anajua kutongozwa ndio maisha yake ya kila siku, kuanza kuchagua kukueleza ni kutaka kukua au kua ndoa kisaikolojia
 

Ndio uzuri wa JF,wazo zuri.
 

Mtaalam wazo zuri Sana.
 
Asante kwa ushauri nategemea kurudi mwezi ujao, nitaendelea kufikiria ushauri wako na wengine wanaoendelea kushauri
Hili suala si la kuomha ushauri, wewe mtu mzima n si kila jambo la kuombaomba ushauri, mkeo ndo kaomba ushauri kwako nawe badlands ya kutatua tatizo unaanza tabia za mkeo kavumilia kaamua kuomba ushauri, sasa subiri atongozwe siku ana nyege kama atakwambia Tena.
 
Mkuu Fanya hivi....

Muite rafiki yako nyumbani mwambie umepata taarifa amemtongoza mkeo.

mwambie akae mbali na Familia yako kama anataka kuishi. Usiendelee mbali ishia hapo.

ukimaliza mwambie umemaliza aondoke haraka nyumbani kwako maana hautaki kumwona mtu asiye na heshima ndani kwako.

kumbuka mkeo amekuambia ili uchukue hatua usipochukua hatua kijamaa kitaendelea kumtongoza na lolote linaweza kutokea.
 
Hiyu rafiki kaa naye mbali na mwambie ukweli taarifa zake unazo na asikanyage kwako kwa kifupi chimba mkwara mzito sana hamna rafiki hapo.
 
Ukiona mkeo amekwambia kuwa kuna mtu Fulani anamtongoza wewe lala usingizi mzuri tu coz nachojua mke akitongozwa na akampenda huyo mtu hawezi kukuhadithia. Kunasiku nilishampa wife makavu live baada ya kuniambia kunamtu Fulani anamtongoza, nikamjibu inamaana miaka yote miliwi tunaishi pamoja inamaana huyo tu ndio kakutongoza? Unaowapenda wakikutongoza mbona huniambii? Nikamwambia acha hizo swaga.
 
Tangaza kiama kwani kuua tsh ngapi....huyo sio rafiki tena
Ni adui yako namba moja, ingekuwa sio rafiki yako ungefanyaje. Kill him immediately kabla hajageuka mwiba kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…