Rafiki yangu alimrusha mtu mwaka 2017/2018: Anamtafuta amwombe msamaha na kumlipa akikubali

Peace of mind sometimes can't be bought with vipande thelathini vya fedha .. ikiwezekana aende huduma center ya mtandao husika Ili ku sort out hili swala kama Huku asipopatikana
What if mwenye hiyo namba amekufa/amepoteza line namba kapewa mtu mwingine?
 
Hivi unadhani hilo swala limetokea mwaka huu au mwaka jana? Hiyo ilikuwa 2008 mkuu, kipindi hiko ukikosea wee ongea vizuri tu uliyemtumia akurudishie fedha zako. Mambo ya kurudisha muamala uliokosewa imeaanza miaka ya karibu ru
Ungeandika mwaka sasa
 
mie kuna jamaa wengine marafiki wa karibu wamenirusha ngoja nisubirie endapo wakiingia JF na kusoma hizi comments watajirudi na kunirejeshea
 
Hapana huyo dada yuko sahihi sana uzembe ni wa huyo wakala kila siku tunakumbushana somo la umakini
 
Hii dhambi 2015 niliikataa baada ya ndugu mmoja kutuma kimakosa kwenye line yangu ya airtel laki nane na hamsini elfu (850,000/=) kwa kumrudishia yote, japo nilikuwa juu ya mawe.
Hata Mimi hua narudisha sikai na pesà ya mtu tena siitoi kabisa aitoe mwenyewe
 
Mlete wete huku apate matibabu
 
Mwehuu huyoo
 
ILAA KUNA WATU MNA ROHOO ZA WANYAMAA..HAMSTAHILI KUISHI!
 
mwaka 2021 mwezi wa 5 niliwekewa mil 4 kwenye acc yangu ya bank...nilikaa siku 3 sikupigiwa simu wala acc kufungiwaa na nilikuwa na hela yangu nyingine kidogo ikawa nikitoa kiasi inatoka..!! siku ya 5 ndo naona acc imezuiwaaa mimi hata sikushughulika nayoo ilaa baadae wakarudisha ile hela nikaendelea na acc yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…