Rafiki yangu ameachwa na Mwanamke aliyepanga kujitambulisha kwao na kumuoa

Ushauri wa nini sasa, wakati ameshaambiwa ukweli
 
Ushauri gani. Afunge kurasa. Tena ashukuru kaambiwa live. Wengine hawasemi wanakufanyia vituko mpaka uache mwenyewe.

Akaze moyo, asonge mbele. One day atakuwa sehem sahihi
 
Na yeye amwandikie ujumbe, sorry msj sio yako.Halafu amweke blacklist na afute katika jina kwenye namba zake.Asisahau kunialika akitaka kuoa tena
 
Hahahahahahaha
Hiyo ndio code , aache ujinga Ila kama Hana Moyo mgumu asifanye hivyo inaweza kumgarimu , anaweza kumuita wakakutana gheto halafu jamaa yako baada ya kupewa show Akaanza kulia Lia kwa kuomba msamaha , itaudhalilisha ukoo wao wote [emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]
 
Hio hali mimi nishaizoe kila nikipoteza ajira au mkataba wangu wa kaz hua naambiwa hayo maneno aliyoambia mshkaji wako hii hali sijui inasababishwa na nin wazee
 
Sasa ushauri wa nini,mbona kamrahishia kazi?? Aangaloe kwingine huyo aendelee kumla
 
Jamaa yangu anaomba Ushauri yakinifu. Mimi kama mdau wa JF nikasema nilete humu ndani na Ushauri wenu nitamuonyesha piaa...
Option zipo mbili;
1. Wisely, Akubali kuwa mwisho umefika na akubali wawe just a friend, atamsahau taratibu!
2. Ki gang zaidi-Fanya juhudi mbembeleze kwa gharama yoyote akubali kukupa mashine , then panga siku umpige mashine ukimaliza unamwambia nilitaka nikugegede mara ya mwisho kwa kifupi sasa mm ndo nimekuacha mazima!

Next time mwambie asiweke moyo wote kwa mtu mmoja augawe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…