Rafiki yangu ameachwa na Mwanamke aliyepanga kujitambulisha kwao na kumuoa

Miaka 12 mahusiano yamedumu aisee Wanawake
Miaka 12 alikuwa anafanya nae nini muda wote huo hata kuchapa mimba..... Umri wa ndoa huo. Labda kaona hakuna jipya kila siku ahadi. Wanawake wa siku hizi hawana subira wanamaamuzi ya kukurupuka kama kondoo.

Kuna formula huwa nawaambia vijana, 'in life when a female compete with a male immorally, she is bound to fail'

Na mwanamke akiwa anakuonyesha anafanya maamuzi kwa kusimamisha masikio huku kakaza fuvu na kuota pembe, muache usibishane nae. Huu ulimwengu sio wao kwasababu unaendeshwa na kanuni za kiume na wanaume pekee ndio wenye mbinu na akili ya kunavigate freely katika ulimwengu huu bila kushikiwa akili.

Ipo siku utapata mrejesho wa kile alichokifuata huko nje.
 
Bidada hajafuta namba ya mshikaji na mshikaji hajafuta namba ya mdada Mpaka sasa
Kimsingi hapo binti ataka kutest mitambo sehemu nyingine ili mambo yakifeli arudi kwa jamaa siku za baadae kwa kilio na msamaha wa maana.
 
Raha zipo peponi kama yeye uislam atafute sababu ya kifo Allah atampa mabikra 7 na chupa ya Balimi apunguze stress.
 
Kimsingi hapo binti ataka kutest mitambo sehemu nyingine ili mambo yakifeli arudi kwa jamaa siku za baadae kwa kilio na msamaha wa maana.
Hahahahaha ko tujipe matumaini kaka
 
Ambacho hakielewi ni nini hapo
 
Hizi kesi za wanafunzi wa chuo kuwaacha solemba ni nyingi sana. Huyo muache aende,tena usigeuke nyuma
 
Matumaini tena.... Huyo akija ni analaumiwa anachezea makofi na matusi halafu anapotezewa tu. Unarejea vipi takataka. Wanawake walivyojaa hii dunia....?!
Kweli kabisaaaa
 
Hizi kesi za wanafunzi wa chuo kuwaacha solemba ni nyingi sana. Huyo muache aende,tena usigeuke nyuma
Huyo Bidada ni mwalimu mwajiriwa Sasa anajiendeleza ndio anasoma Degree yupo mwaka wa kwanza
 
Hakuna ushauri mwingine zaidi ni amsikilize aliyempa ujumbe aende kwa anayehisi anampenda. Huwezi mlazimisha mtu awe na ww ili hali katamka wazi kuwa hamtaki.
🎼Kuachwa kuachwa
Kuachwa ni shughuli pevu
Ahhh mbaya zaidi
Kwa yule uliyempenda
Wewe unakonda, yeye ananenepa... 🎼
 
Pangusa mikono songa mbele, acheni long term plans na wanafunzi mtaja kufa siku sio zenu
 
Mwambie amjibu "poa"

Neno moja tu halafu akaushe mazima milele na milele Amina, huyo mchuchu wake atabaki anajiuliza "poa" nini?
Aendelee tu kujiuliza maana hata mimi sijui namaanisha nini?
 
[emoji443]Kuachwa kuachwa
Kuachwa ni shughuli pevu
Ahhh mbaya zaidi
Kwa yule uliyempenda
Wewe unakonda, yeye ananenepa... [emoji443]
Wewe unakonda,
Kwa mawazo ooh!
Kwa mawazo,
Kuachwa ni shughuli pevu
Kuachwa ni maumivu
Inafikia kipindi hata marafiki zako(jf)wanaokushauri achana naye uendelee na maisha yako unawaona wabaya,
 

haya maisha bhn unaeza hisi unateswa peke ako na mapenzi kumbe una mwenzako [emoji23][emoji23][emoji23]

Hiyo sms hata mimi nimetumiwa tofauti ni kwamba rafiki ako ni wa kiume mi ni wa kike[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Anataka ushauri gani tena? Si kashasema hamtaki au?
Hii ndo shida ya kulazimisha mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…