Rafiki yangu ameingia kwenye mahusiano na mwanamke wangu. Moyo wangu unauma sijui nifanye nini?

Mkuu
Piga moyo konde. huyo binti siyo material wala type yako kabisa.

Jipange kimaisha utakuja kuopoa ama kuopolewa na pisi kali inayojitambua na yenye akili kichwani na siyo makalioni.

Pole sana lakini piga moyo konde. achana na binti aendelee kutanua miguu yake kama barabendi
 
screenshot ✔️
 
Naomba usome kwa bidii...... Upo second year labda uwe bado chuo hukijui vzr

Plus umesema unapiga job mtaani upate chochote kitu...... Ina maana sio loan beneficiary!

Mimi sio mshaur Ila usiipe ngono ama mapenzi kipaumbele hiko hasa kwa mabinti wa chuo ambao wengi ni njaa Kali

Good luck
 
Sikia akunyimae kunde,anakupunguzia mashuzi
 
Ningekuwa karibu yako ningekupiga mabanzi ya kwenye shingo mpk akili ikae sawa!, unaumizwaje na mapenzi...?
 
In short huyo siyo mwanamke wako anymore, in other words amejiupgrade sasa cordinates zinasoma aliko
 
Ukirudi hapa jf baada ya miaka mi 5 utajicheka sana. Utatamani kufuta huu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…