Rafiki yangu ameingia kwenye mahusiano na mwanamke wangu. Moyo wangu unauma sijui nifanye nini?

Ukifikisha walau miaka 30+ utaanza kupuuzia hayo unayoyaita mapito...na kuona ni upuuzi!

Pesa ikusumbulie akili!, hata kiumbe wa kike nae akuendeshe...!? How?

Ifanye pesa ikutafutie unaemtaka...mambo ya kupenda-pendana mwisho ni kidato cha pili!.
 
Ukatoa na machozi hosteli 😂
 
Kwan Ako ka dadadaa ni mkeo wa ndoa? Au kunataratibu zozote ulipeleka kwao ? Kama hakuna mdogo wangu soma zingatia asomo yako huku mtaan wamejaaaa tele wazur mnoo soma acha upuuz upuuz
 
Wakati Mimi Niko na umri wako nilikua hata sijui kupenda ni nini, ingawa sikua naishi kama mdudu😅😅.

Anyway, ila Mimi kaka yako nakushauri ya kwamba kamwe usiamini hawa mabinti wa kuanzia 18-25, hawa wengi wanatamani maisha ya uhuru na kujaribu jaribu so ni watu ambao hawapendi kufungwa sehemu moja (commitment ) hasa kwenye mapenzi labda hadi yeye aanze kukupenda wewe.

Na wengi wakiwa chuo huwa wanapenda sana ushindani so bad boys ndio huwa wanawin hizi game kuliko nice boy kama wewe, kwahiyo wewe piga zako shule umalize ila usiishi kama mdudu coz nawe ni binadamu but don't be serious kiasi hiko.
 
Kumbe Mwanafunzi, hata kuoga vizuri na kunyoa hamjajua unaanza kulia mitandaoni?
Huyo mwanamke wako kwakuwa ameingia kwenye mapenzi akiwa mwanafunzi tegemea:-
1. kuchapiwa na lecturer.
2. Kuchapiwa akiwa field.
3. Kuchapiwa na Supervisor.
4. Kuchapiwa na Boda boda wake anayemtumaga chips.
 
Vijana tukiwaambia hawa viumbe ni wakugegeda na kusepa mnaona tunawadanganga....lolote liwakute kwa ubishi wenu.
 
Pole Sana .

Ila sifikirii kama ni sahihi Kijana wa miaka 24 na aliyepo chuo kupambania mahusiano ya kimapenzi .


Sikia Kijana time flies

Ukimaliza chuo utakutana na mambo mawili.

Kurudi nyumbani
Kukaa mjini

So jaribu kutengeneza network ya watu kwanza .

Sex is overrated
Love is illusion
Money is everything
 
Soma
Soma
Soma ......

Tafuta mwanamke mwingine wamejaa tele na wakila aina kwani huyo ulizaliwa nae .....?

Next season , hakikisha kuwa na "back up" mapenzi ya kweli waachie akina sharkan ....hutokuja tena kuandika Uzi hapa ....

Soma.
 
Mtu kama ww una weza kuta wazazi wako wamesha uza mashamba na mbuzi wote hapo nyumbani wakidhani wanasomesha mtu wa maana kumbe wanasomesha ng'ombe.
Yaani huoni hata aibu kuja mbele ya wanaume wenzio na kusema eti ulienda kulia mbele ya demu?
Ww unacho takiwa kudili nacho kwa sasa ni kutafuta konekisheni ili ujue ni namna gani ya kukabiliana na maisha baada kuhitimu chuo na si huo upuuzi unao uendekeza.

Sisi kaka zako tulisha wahi kuendekeza upumbavu wa aina hiyo ila tukaja kushutuka muda ukiwa umesha enda na mpaka sasa tunajutia ,so hutakiwi kurudia hayo makosa.
Ngono ni sehemu ndogo sana ya maisha na sio maisha menyewe,ukisha litambua hili huwezi kuwa mtumwa wa ngono kiasi cha kwenda kujiuliza mbele ya wanawake kisa uchi.
 
Mkuu
Kwani uyo dem ulimlipia mahari? Ni mke wako? Achaa apigwee, ni wakati wake.

Ushauri; soma kwanza, usiyachukulie mapenzi serious ivo kijana mdogo
 
Mapenzi yanauma Sio Poa.

Piga chini Demu. Hafai hata Kidogo.

Piga chini mwamba, Huo ndio tunaita usela mavi, kama kashindwa kuzuia nyege zake kwa kitu Kidogo kama demu, ( tena wa jamaa yake) ambao wako wengi kinoma.
Huyo jamaa Je dili la pesa ndefu si atakusaliti na kukuua Kabisa?

Mwisho usirudie kosa la kupenda sana Demu.

Assume hakuna mwanamke mwaminifu Duniani hapa.
 
Sasa bidada hujamlipia mahari unalia...watu wanalipa mahari, wanafunga ndoa na wanachapiwa wewe sogeza ukae machozi yanini....tafuta chombo kingine.. upgrade ila mshakaji sio mwana tema nae na demu ivo ivo temana nae.
 
Kwanz uyo sio mwanamke wako futa io kauli, kama mwanamke ujamuoa ukigongewa utakiwi kulalamika.
 
Kusema ...'yeyote achape'... yalikuwani maruwe ruwe yake tu huku bado akimpenda?
Kwa nini akununie sasa?
 
Mapenzi huwa hayajaribiwi
 
Ila wazazi tuombee watoto wetu sana,. Imagine bint yako chuo ndio anapigwa pasi namna hiyo kama mpira
Hasara sana aisee eti ndio kwanza vina miaka 18 na vyenyewe vinaanza kuleta skendo za mapenzi.
Hawa ndio wale wakifika mwaka wa mwisho wa masomo wanajirekodi video na kusambazwa mitandaoni.
 
Bila shaka sio UDOM,
Tulikuwa na tabia moja, ukiwa na demu ukaachana nae unajitahd kwa vyovyote vile awe dem wa msela ili kila ukijiskia kupiga unaichapa na msela anaichapa siku nyingine.
Chuo mapenzi yanaishia hukohuko hom unarudi na chetu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…