Kidaleki_mauzo
Member
- Feb 7, 2025
- 8
- 8
Ndivyo ilivyo Sasa wewe unadhani utalingana nao?Habari wa ndugu.
Ni kijana wenu mpya. Sikuwa member lakini nilikuwa nahudhuria humu now imeshindikana hivyo imenipasa kujiunga rasmi. Mnipokee.
Ndugu, mimi ni muhitimu wa diploma ya uhasibu TIA 2022.
Nna rafiki yangu ambaye babake ni shekhe wa mkoa fulani TZ bara. Juzi amenipigia simu kuwa ameajirwa kwenye moja ya taasisi nyeti. Hakufanya interview wala kuomba nafasi.
Ameitwa utumishi kufata barua tu ya ajira.
Nnachojiuliza, inawezekanaje hadi viongozi wa dini kuwa na nguvu ya kupenyeza watu?? Nafikiria uwingi wa makanisa Kama kila mchungaji mkubwa akipeleka mtoto wake. Ajira zinazidi kuwa finyu kwa sie kajamba nani
Angetulia tu siri yake moyoni,haya ona sasa hautomtafutia nafasi tenaSasa ndio uje unisemehe huku kaka?
acha kubisha usicho fahamu, mbona wapo wengi wanapitia utumishi hata bila usahiliAmna kitu kama icho muulize vzr sio utumishi hao labda kwenye majeshi
AiseeNdivyo ilivyo Sasa wewe unadhani utalingana nao?
Hapo sasa.Wenzenu babazao ndo wanasema watayaomba majini yote yamuombee mwesimiwa apite bila kupingwa sasa watakosaje watoto wao kupewa fair
Bwana , kuache na bahati yake , labda kuna special case za kiusalam kufanya hivoHabari wa ndugu.