Rafiki yangu babake ni shekhe wa mkoa ameajiriwa taasisi kubwa serikalini bila interview

Rafiki yangu babake ni shekhe wa mkoa ameajiriwa taasisi kubwa serikalini bila interview

Siku Moja niliona umuhimu wa connection kwenye ishu flani ya hela. Ile Hela nilikuwa naelekea kuchukua Mimi mara ghafla nikaambiwa kesho we utabaki na ofisi Kule ataenda flani! Nililia moyoni but kiukweli bongo ya Leo hata ajira za kulipwa Efu 50 bila connection hutoboi
 
Wakuu,

Rafiki yangu, ambaye baba yake ni Shekhe wa mkoa, ameajiriwa katika taasisi kubwa ya serikali bila kufanyiwa usaili.
Ndivyo mambo yalivyo mimi nawafahamu watu wawili enzi Jk wazazi wao walihudhuria ikulu wakati kaalika viongozi wa dini mwisho wakala shavu NSSF wote baadaya ya kupewa vinote. Interview walifanya kama ushahuda tu tena mmoja alikuwa anasema interview ilikuwa ngumu hadi alikosa cha kuandika.
So kaa kwa kutulia mkuu.
 
Nchi gani hiyo mkuu, Kwa hiyo sheikh mkuu hadhi yake ni sawa na Rais wa nchi siyo?
Hayo ya sheikh mkuu umeyaibua wewe na sidhani kama yana msingi.
Ila equivalent ya ma sheikh wa wilaya na ma DC na ma RC na ma sheikh wa mkoa naongea kitu ninachokijua.
Sio kikatiba ila ni kimazingira.
My fish brother from one womb ni kiongozi wa ngazi hizo.
 
Back
Top Bottom