Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
H
Uwa nikiwaambia hapa kuwa kuna mfumo wa kihalifu unazidi kus7kwa serikalini watu wananiona mpumbavu hata hawa mitume feki ni pandikizi la serikali kuwapymbaza wananchi na wakristo ...wakati huo Raia feki wakizidi kutumia uislamu kufisidi nchi .....waislamu wanatumika kipumbavu sana kuliangamiza taifaHabari wa ndugu.
Ni kijana wenu mpya. Sikuwa member lakini nilikuwa nahudhuria humu now imeshindikana hivyo imenipasa kujiunga rasmi. Mnipokee.
Ndugu, mimi ni muhitimu wa diploma ya uhasibu TIA 2022.
Nna rafiki yangu ambaye babake ni shekhe wa mkoa fulani TZ bara. Juzi amenipigia simu kuwa ameajirwa kwenye moja ya taasisi nyeti. Hakufanya interview wala kuomba nafasi.
Ameitwa utumishi kufata barua tu ya ajira.
Nnachojiuliza, inawezekanaje hadi viongozi wa dini kuwa na nguvu ya kupenyeza watu?? Nafikiria uwingi wa makanisa Kama kila mchungaji mkubwa akipeleka mtoto wake. Ajira zinazidi kuwa finyu kwa sie kajamba nani