Rafiki yangu Hezekiah Wenje Bunge la 11 yaani 2015-2020 Lissu ubunge wake ulifutwa na alikuwa hospitali angechangiaje?

Nani asiyejua kipindi Mh LISSU alipigwa risasi na baadae Ubunge wake kutenguliwa atawezaje kuchangia wakati hakuwa na Mishahara?
Kwani baada ya kuchaguliwa tu akapigwa risasi hapo hapo na kusimamishiwa mshahara?
 
Lissu alidai kiinua mgongo na akalipwa kama hakutumikia ubunge asingelipwa.

Wenje aneeleza kuwa kila mwezi mbunge inabidi achangie sehemu ya mshahara wake.

Kwani Lissu alipigwa risasi kabla hajapokea mshahara? Hukusikia kuwa hata baada ya kupigwa risasi aliendekea kulipwa mishahara yake? Baadae kwa, maneno ya Lissu nwenyewe alisema kuwa anelipwa stahiki zake zote za ubunge
 
Kwahiyo Lissu alipigwa risasi akitokea nyumbani kwako !.

Kwanini Lissu anadai stahiki zake za ubunge ? Ni ubunge wa chumbani kwako.
 
Ila UKUMBUKE PIA Lissu alipigwa risasi 2017. Je hiyo miaka miwili ya kwanza alichangia .....!!?
Hili swali unataka team Lissu wakuparure kwa mitusi na dharau.

Huko Club House wameshindwa hata kumchangia 500,000 !.
 
Kwahiyo we startergear unamwamini lissu Kila anasema ni kweli ila wengine ni waongo hiyo ni double standard ya Hali ya juu
 
Hili swali unataka team Lissu wakuparure kwa mitusi na dharau.

Huko Club House wameshindwa hata kumchangia 500,000 !.

I know. Mimi pia ni shabiki wa siasa za upinzani na specifically CDM. Ila kwa Lissu sioni progress zaidi ya short term impact ambayo haitaifikisha popote CHADEMA kwa hali ya siasa zetu.
 
Mshamba
 
Lissu alichangia, na hata yeye majuzi alilitamka hilo kwamba wao kama wabunge wa CHADEMA walikuwa wakichangia na ndiyo itaratibu wa Chama

Aweke ushahidi maana kwenye kumbukumbu za chama hayumo.
 
Mbowe aonyeshe risiti aliyopewa na CHADEMA ya kuchangia hizo 250m. Hela hupokelewa kwa njia ya risiti.
 
Kwani mtu akichangia sana ndio kwamba anakuwa chadema zaidi au nn...mbona Sabodo alichangia milioni 100 na hakuwa mwana chadema alikuwa ccm...wenje anasemeaje hili?!.
Cha muhimu ni Lissu awe mwenyekiti mpya chadema, hatutaki tena porojo!!.
 
lisu alipigwa risasi mwaka gani?
kabla hajapigwa risasi alichanga?
 
Ahahahahaha! Unataka kutwambia alivyoingia tu Bungeni 2015 akatwangwa risasi? Ahahahahaha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…