Rafiki yangu Hezekiah Wenje Bunge la 11 yaani 2015-2020 Lissu ubunge wake ulifutwa na alikuwa hospitali angechangiaje?

Nimekua kwenye AJIRA kwa zaidi ya miaka 25, nimefanya kazi na makabila almost yote Tanzania hi, nimefanya kazi na baadhi ya makabila kutoka Uganda, Kenya, Rwanda, Zambia na Malawi kidogo. Kwa hapa Africa mashariki, hakuna watu nawaogopa, hakuna watu siwaamini kama Wajaluo. Yaani Mjaluo, hapana. Hawa kukusariti akitokea mjaluo mwenzao, dakika 1 kubwa sana. I never trust Jaluo, never
 
We
View attachment 3189444
==
Leo Ezekiah Wenje mjumbe wa Kamati Kuu CC anakuja kutuambia eti Mh LISSU hajachangia chochote kile akiwa mbunge kwenye bunge la 11.

Tujiuluze, bunge la kumi na Moja (11) lilikuwa mwaka 2015-2020 Lissu alikuwa Bungeni?

Nani asiyejua kipindi Mh LISSU alipigwa risasi na baadae Ubunge wake kutenguliwa atawezaje kuchangia wakati hakuwa na Mishahara?

Huyu Wenje hayuko sawa kiakili kabisaa sijui kwanini na sijui kawezaje kuwa mkiti wa Kanda na mjumbe wa Kamati Kuu huyu mtu,

Mtu huyu ni hatari na hana huruma kabisaa baya zaidi ni Muongo na mfitini sana.

Pia soma Wenje: Lissu mpaka anamaliza bunge la 11 hajachangia hata tsh.100 CHADEMA

Wenje anaona aitumie kisiasa hii itampa unafuu? Aiseee Wenje hana hata aibu kudai mgonjwa achangie,tunathamini uhai wake na tunashukuru Mungu kuturejeshea uhai wa Mh LISSU kumbe Wenje anataka mgonjwa kama LISSU kipindi kile eti achangie michango aibu sana

Wenje hana huruma hafai kuwa kiongozi kabisaa,sijui yupo kamati kuu kwa uwezo gani alionao.
Wenje anapambania ugombea wake makamu wa mwenyekiti, pia wenje sio wa kuaminika, aliwahi mzushia lissu kwamba anamdai kumbe SI kweli
 
Lissu alidai kiinua mgongo na akalipwa kama hakutumikia ubunge asingelipwa.

Wenje aneeleza kuwa kila mwezi mbunge inabidi achangie sehemu ya mshahara wake.

Kwani Lissu alipigwa risasi kabla hajapokea mshahara? Hukusikia kuwa hata baada ya kupigwa risasi aliendekea kulipwa mishahara yake? Baadae kwa, maneno ya Lissu nwenyewe alisema kuwa anelipwa stahiki zake zote za ubunge
Mishahara ilikuwa inakatwa na bunge Kisha kupelekwa kwenye chama, wenje ni mwongo.
 
View attachment 3189444
==
Leo Ezekiah Wenje mjumbe wa Kamati Kuu CC anakuja kutuambia eti Mh LISSU hajachangia chochote kile akiwa mbunge kwenye bunge la 11.

Tujiuluze, bunge la kumi na Moja (11) lilikuwa mwaka 2015-2020 Lissu alikuwa Bungeni?

Nani asiyejua kipindi Mh LISSU alipigwa risasi na baadae Ubunge wake kutenguliwa atawezaje kuchangia wakati hakuwa na Mishahara?

Huyu Wenje hayuko sawa kiakili kabisaa sijui kwanini na sijui kawezaje kuwa mkiti wa Kanda na mjumbe wa Kamati Kuu huyu mtu,

Mtu huyu ni hatari na hana huruma kabisaa baya zaidi ni Muongo na mfitini sana.

Pia soma Wenje: Lissu mpaka anamaliza bunge la 11 hajachangia hata tsh.100 CHADEMA

Wenje anaona aitumie kisiasa hii itampa unafuu? Aiseee Wenje hana hata aibu kudai mgonjwa achangie,tunathamini uhai wake na tunashukuru Mungu kuturejeshea uhai wa Mh LISSU kumbe Wenje anataka mgonjwa kama LISSU kipindi kile eti achangie michango aibu sana

Wenje hana huruma hafai kuwa kiongozi kabisaa,sijui yupo kamati kuu kwa uwezo gani alionao.
Lissu hana mpinzani mpaka sasa
 
Back
Top Bottom