Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tujiuluze, bunge la kumi na Moja (11) lilikuwa mwaka 2015-2020 Lissu alikuwa Bungeni?
Nani asiyejua kipindi Mh LISSU alipigwa risasi na baadae Ubunge wake kutenguliwa atawezaje kuchangia wakati hakuwa na Mishahara?
Huyu wenje hela za Abdul zimempofusha kabisaView attachment 3189444
==
Leo Ezekiah Wenje mjumbe wa Kamati Kuu CC anakuja kutuambia eti Mh LISSU hajachangia chochote kile akiwa mbunge kwenye bunge la 11.
Tujiuluze, bunge la kumi na Moja (11) lilikuwa mwaka 2015-2020 Lissu alikuwa Bungeni?
Nani asiyejua kipindi Mh LISSU alipigwa risasi na baadae Ubunge wake kutenguliwa atawezaje kuchangia wakati hakuwa na Mishahara?
Huyu Wenje hayuko sawa kiakili kabisaa sijui kwanini na sijui kawezaje kuwa mkiti wa Kanda na mjumbe wa Kamati Kuu huyu mtu,
Mtu huyu ni hatari na hana huruma kabisaa baya zaidi ni Muongo na mfitini sana.
Pia soma Wenje: Lissu mpaka anamaliza bunge la 11 hajachangia hata tsh.100 CHADEMA
Wenje anaona aitumie kisiasa hii itampa unafuu? Aiseee Wenje hana hata aibu kudai mgonjwa achangie,tunathamini uhai wake na tunashukuru Mungu kuturejeshea uhai wa Mh LISSU kumbe Wenje anataka mgonjwa kama LISSU kipindi kile eti achangie michango aibu sana
Wenje hana huruma hafai kuwa kiongozi kabisaa,sijui yupo kamati kuu kwa uwezo gani alionao.
Hiyo 250m imetoka kwa Abdul lakini baadae kama wakipata ruzuku atakuja kuidai,wajinga ndiyo waliwao.Ni mpumbavu pekee anayemsikiliza na kumtilia maanan wenje! Mimi ameniacha hoi aliposema eti Mbowe ametoa million 250 kuchangia bajeti ya mkutano mkuu. Hivi anatuona sisi mazwazwa sijui!? Yaani pesa ya mfanya biashara itoke bila return nzuri! Kwamba yeye anaipenda sana CHADEMA kuliko ukoo wake? Kwamba ukoo wake wote matajiri so hana kwa kupeleka hela.
Kwani wewe na mimi na yule hatuwezi kupigania haki zetu? Unakaa nyumbani ukitegemea watu wakupiganie haki zako?Nchi hii imeshndikana upinzania hakuna shika jembe ukalime acha wakina mwigulu walembe asali mpaka wapaliwe.
Elimu ya MEMKWAWenje ana elimu gani?
Mbowe ni tapeli na anafanya hivyo ili aje adai alitoa sh bilioni moja. Kwanza anaonyesha jinsi Mbowe alivyo kiazi kwa kuongoza chama kwa miaka 20 na kushindwa kutafuta sources za fedha. Akifa leo ni nani atachangia? Na anatoa fedha zake mfukoni ili iweje?Ni mpumbavu pekee anayemsikiliza na kumtilia maanan wenje! Mimi ameniacha hoi aliposema eti Mbowe ametoa million 250 kuchangia bajeti ya mkutano mkuu. Hivi anatuona sisi mazwazwa sijui!? Yaani pesa ya mfanya biashara itoke bila return nzuri! Kwamba yeye anaipenda sana CHADEMA kuliko ukoo wake? Kwamba ukoo wake wote matajiri so hana kwa kupeleka hela.
Halafu akija Lissu kunyoosha maelezo watasema anatoa siri za chama hadharani. Ndiyo maana hizi chokochoko zao zimetoa code kumbe Mzee Kibao alitekwa na kuuliwa kikatili kwa vile alikuwa na ushahidi wa jinsi Abdul alivyokuwa anamwaga hela kwa viongozi waandamizi wa Chadema, ngoja waendelee tu kumchokonoa pweza alikojificha.Huyu jamaa ukimsikiliza anaongea makamasi tupu
Wewe mccm tuondolee upuuzi wako hapa, Chadema Mbowe ameshaiuza kwa Abdul na mama yakeNia ya wanaotaka TAL awe mwenyekiti,Wana Nia ya kuia chadema!
Mimi mwenyewe nashangaa yaani unatoa pesa binafsi kwenye taasisi ambayo siyo yako? Hapo pana walakini mkubwa sana.Mbowe ni tapeli na anafanya hivyo ili aje adai alitoa sh bilioni moja. Kwanza anaonyesha jinsi Mbowe alivyo kiazi kwa kuongoza chama kwa miaka 20 na kushindwa kutafuta sources za fedha. Akifa leo ni nani atachangia? Na anatoa fedha zake mfukoni ili iweje?
TAL atakwenda kuinunua iliko uzwa?Wewe mccm tuondolee upuuzi wako hapa, Chadema Mbowe ameshaiuza kwa Abdul na mama yake
NdiyoTAL atakwenda kuinunua iliko uzwa?
Mirembe mwaka huu,dawa haxitashaNdiyo
Vichaa kama wewe ndiyo mtazimaliza,Mirembe mwaka huu,dawa haxitasha
Avatar Yako na maneno yako ni SAWA na CCMVichaa kama wewe ndiyo mtazimaliza,
Nyumbu wa Sultan Mbowe mnahangaika kama kuku aliyekatwa kichwaAvatar Yako na maneno yako ni SAWA na CCM
TLS, imewashinda,sasa mnataka siasa!Nyumbu wa Sultan Mbowe mnahangaika kama kuku aliyekatwa kichwa
Kumbe chawa wa Sultan mko vilaza kama boss wenu hadi huruma walahi.TLS, imewashinda,sasa mnataka siasa!
Nyie ni wanaharakati!
Nyakati za uwanaharakati zilishapitwa na wakati