Rafiki yangu Hezekiah Wenje Bunge la 11 yaani 2015-2020 Lissu ubunge wake ulifutwa na alikuwa hospitali angechangiaje?

Rafiki yangu Hezekiah Wenje Bunge la 11 yaani 2015-2020 Lissu ubunge wake ulifutwa na alikuwa hospitali angechangiaje?

Tujiuluze, bunge la kumi na Moja (11) lilikuwa mwaka 2015-2020 Lissu alikuwa Bungeni?

Nani asiyejua kipindi Mh LISSU alipigwa risasi na baadae Ubunge wake kutenguliwa atawezaje kuchangia wakati hakuwa na Mishahara?

Ila UKUMBUKE PIA Lissu alipigwa risasi 2017. Je hiyo miaka miwili ya kwanza alichangia .....!!?
 
View attachment 3189444
==
Leo Ezekiah Wenje mjumbe wa Kamati Kuu CC anakuja kutuambia eti Mh LISSU hajachangia chochote kile akiwa mbunge kwenye bunge la 11.

Tujiuluze, bunge la kumi na Moja (11) lilikuwa mwaka 2015-2020 Lissu alikuwa Bungeni?

Nani asiyejua kipindi Mh LISSU alipigwa risasi na baadae Ubunge wake kutenguliwa atawezaje kuchangia wakati hakuwa na Mishahara?

Huyu Wenje hayuko sawa kiakili kabisaa sijui kwanini na sijui kawezaje kuwa mkiti wa Kanda na mjumbe wa Kamati Kuu huyu mtu,

Mtu huyu ni hatari na hana huruma kabisaa baya zaidi ni Muongo na mfitini sana.

Pia soma Wenje: Lissu mpaka anamaliza bunge la 11 hajachangia hata tsh.100 CHADEMA

Wenje anaona aitumie kisiasa hii itampa unafuu? Aiseee Wenje hana hata aibu kudai mgonjwa achangie,tunathamini uhai wake na tunashukuru Mungu kuturejeshea uhai wa Mh LISSU kumbe Wenje anataka mgonjwa kama LISSU kipindi kile eti achangie michango aibu sana

Wenje hana huruma hafai kuwa kiongozi kabisaa,sijui yupo kamati kuu kwa uwezo gani alionao.
Huyu wenje hela za Abdul zimempofusha kabisa
 
Ni mpumbavu pekee anayemsikiliza na kumtilia maanan wenje! Mimi ameniacha hoi aliposema eti Mbowe ametoa million 250 kuchangia bajeti ya mkutano mkuu. Hivi anatuona sisi mazwazwa sijui!? Yaani pesa ya mfanya biashara itoke bila return nzuri! Kwamba yeye anaipenda sana CHADEMA kuliko ukoo wake? Kwamba ukoo wake wote matajiri so hana kwa kupeleka hela.
Hiyo 250m imetoka kwa Abdul lakini baadae kama wakipata ruzuku atakuja kuidai,wajinga ndiyo waliwao.
 
Ni mpumbavu pekee anayemsikiliza na kumtilia maanan wenje! Mimi ameniacha hoi aliposema eti Mbowe ametoa million 250 kuchangia bajeti ya mkutano mkuu. Hivi anatuona sisi mazwazwa sijui!? Yaani pesa ya mfanya biashara itoke bila return nzuri! Kwamba yeye anaipenda sana CHADEMA kuliko ukoo wake? Kwamba ukoo wake wote matajiri so hana kwa kupeleka hela.
Mbowe ni tapeli na anafanya hivyo ili aje adai alitoa sh bilioni moja. Kwanza anaonyesha jinsi Mbowe alivyo kiazi kwa kuongoza chama kwa miaka 20 na kushindwa kutafuta sources za fedha. Akifa leo ni nani atachangia? Na anatoa fedha zake mfukoni ili iweje?
 
Huyu jamaa ukimsikiliza anaongea makamasi tupu
Halafu akija Lissu kunyoosha maelezo watasema anatoa siri za chama hadharani. Ndiyo maana hizi chokochoko zao zimetoa code kumbe Mzee Kibao alitekwa na kuuliwa kikatili kwa vile alikuwa na ushahidi wa jinsi Abdul alivyokuwa anamwaga hela kwa viongozi waandamizi wa Chadema, ngoja waendelee tu kumchokonoa pweza alikojificha.
 
Mbowe ni tapeli na anafanya hivyo ili aje adai alitoa sh bilioni moja. Kwanza anaonyesha jinsi Mbowe alivyo kiazi kwa kuongoza chama kwa miaka 20 na kushindwa kutafuta sources za fedha. Akifa leo ni nani atachangia? Na anatoa fedha zake mfukoni ili iweje?
Mimi mwenyewe nashangaa yaani unatoa pesa binafsi kwenye taasisi ambayo siyo yako? Hapo pana walakini mkubwa sana.
 
TAL amesema mara kadhaa,anadai pesa zake Kwa Mama Abdul aweze kutimiza majukumu yake. Siku akilipwa atalipa madeni yake.
 
Back
Top Bottom