Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 1,535
- 2,565
Kayatakaje? Lisu sio mnafiki anasimamia ukweli... ila wanafiki mnasimamia unafiki.. hiyo yote ni njaa tu....Kayataka mwenyewe kwa kuanza kuyasema hivyo wacha na yeye asemwe
Wenje anapambania ugombea wake makamu wa mwenyekiti, pia wenje sio wa kuaminika, aliwahi mzushia lissu kwamba anamdai kumbe SI kweliView attachment 3189444
==
Leo Ezekiah Wenje mjumbe wa Kamati Kuu CC anakuja kutuambia eti Mh LISSU hajachangia chochote kile akiwa mbunge kwenye bunge la 11.
Tujiuluze, bunge la kumi na Moja (11) lilikuwa mwaka 2015-2020 Lissu alikuwa Bungeni?
Nani asiyejua kipindi Mh LISSU alipigwa risasi na baadae Ubunge wake kutenguliwa atawezaje kuchangia wakati hakuwa na Mishahara?
Huyu Wenje hayuko sawa kiakili kabisaa sijui kwanini na sijui kawezaje kuwa mkiti wa Kanda na mjumbe wa Kamati Kuu huyu mtu,
Mtu huyu ni hatari na hana huruma kabisaa baya zaidi ni Muongo na mfitini sana.
Pia soma Wenje: Lissu mpaka anamaliza bunge la 11 hajachangia hata tsh.100 CHADEMA
Wenje anaona aitumie kisiasa hii itampa unafuu? Aiseee Wenje hana hata aibu kudai mgonjwa achangie,tunathamini uhai wake na tunashukuru Mungu kuturejeshea uhai wa Mh LISSU kumbe Wenje anataka mgonjwa kama LISSU kipindi kile eti achangie michango aibu sana
Wenje hana huruma hafai kuwa kiongozi kabisaa,sijui yupo kamati kuu kwa uwezo gani alionao.
Mi najua wabunge wote walikuwa wanatwa kwenye mishahara Yao...Ila UKUMBUKE PIA Lissu alipigwa risasi 2017. Je hiyo miaka miwili ya kwanza alichangia .....!!?
Mishahara ilikuwa inakatwa na bunge Kisha kupelekwa kwenye chama, wenje ni mwongo.Lissu alidai kiinua mgongo na akalipwa kama hakutumikia ubunge asingelipwa.
Wenje aneeleza kuwa kila mwezi mbunge inabidi achangie sehemu ya mshahara wake.
Kwani Lissu alipigwa risasi kabla hajapokea mshahara? Hukusikia kuwa hata baada ya kupigwa risasi aliendekea kulipwa mishahara yake? Baadae kwa, maneno ya Lissu nwenyewe alisema kuwa anelipwa stahiki zake zote za ubunge
Lissu hana mpinzani mpaka sasaView attachment 3189444