Rafiki yangu kampa kadi ya benki mke wake na akipata mshahara wote anampa mkewe. Yuko sawa kweli?

mambo ya pesa na mapenzi ni mada mbili tofauti
jamaa kauliza kuhusu kumpa pesa mke afanye maamuzi(mind you pesa sio ya mwanamke)
mapenzi au ndoa hazihusiani sana na mambo ya pesa
kuna kitu kimoja kinaitwa(UAMINIFU), jamaa amemuamini mkewe....mengine yanajitegemea maana mengine yote tunaassume tu
kila mtu ana namna yake ya kufikiria mambo(perspective), kwa hilo nina imani wanaume na wanawake wananfikiria tofaut
mfano, rafiki wa kike wa huyo jamaa alompa mke kadi ya benki wanamwona mwanaume thabiti sana,lakini rafiki wa kiume wa jamaa wanaona ni dhaifu mno
pia ndugu wa kiume wanaweza kuona jama kapigwa zongo,ila ndugu wa kike wakaona jamaa ni baba bora wa familia
MWISHO! kila mtu ana namna yake kutafsiri hilo jambo,ila binafsi nikimuamini mtu(hata kama rafiki nampa kadi ya bengi)
 
Naamini kuwa mwanamme ni last man kwenye mambo mengi. Uwe na pesa za kwako binafsi kuokolea jahazi ikikwama.
 
Itakuwa jamaa anajijua anasumbuliwa na chuma ulete. Lakini kikawaida hiyo sio sahihi.
 
Na wewe ukipata nafasi mbandue
 
Na wewe ukipata nafasi mbandue
Nina kinyaa sana
Nikijua sufuria hii ilipikia kitimoto labda nisahau, siwezi kula chakula chake kabisa

Niko hivyo, hata kama namkubali demu kiasi gani, nikijua analiwa na mtu nikamjua napoteza stimu nae.

Sipendi kushare pia, maana unaweza demu mmoja anawaua wot kikundi chenu
 
Uliye nae ulimkuta na bikra pande zote
 
Yeah my wife was virgin, we have been together for ten good years.
Mapungufu mengine madogo madogo, ukioa wamasai utafurahi sana

Kumbuka hilo
Sitaki kuendelea hongera mkuu wangu
Moyo wako umeshaamua na ninaheshimu hisia zako
 
Kwa kifupi jamaa ni SIMP hana authority sio mwanaume hana misuli ya akili ys kiume.
 

Attachments

  • images (2).png
    3.9 KB · Views: 21
  • images (5).jpeg
    8.5 KB · Views: 24
Nmekopa mpaka 20 Kilimanjaro lewate anauza shel ya mafuta fucking shit
 
Redemeer menemeke real nigger anakufa kesho fucking shit
 
Kama Kuna mtu atume bank account ntamtumia fucking money
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…