Rafiki yangu kanipa kesi, kisa nimemsaidia mtoto wake mwenyewe

Nimwambie yeye ni mpumbavu 🤣🤣🤣
 
In fact baba wa mtoto anajua kabisa kinachoendelea, utafanya nae kikao atakujibu majibu ya shombo utapata hasira na unaweza kumiss opportunity ya kumsaidia huyo mtoto! Hakafu kumchukua mtoto video clip wkt anaadhibiwa ni unethical na illegal! Tena kupost ndio balaa zaidi! Usijipe kazi isiyokuhusu wape wahusika kazi yao, tenda wema uende zako
 
Asante mkuu kwa ushauri, lakini huku tulipo ni mbali mno na familia. Mshikaji tulijuana nae miezi kadhaa tu iliyopita. Ila tukatokea kuwa kama ndugu.
 
Mungu atakusimamia kwa sababu umesimama kwenye haki na mungu ana daraja maalum kwa wale wanaowatendea wema yatima, usichoke kumpigania huyo dogo, wazazi kama huyo home boy wako ndio wanaoongeza watoto wa mitaani inakera sana
I mean.. fikiria baba anashindwa kufuatilia malezi ya mtoto wake pale nyumbani. Mambo ya mama wa kambo yanafahamika toka miaka mingi, lakini jamaa ameshindwa kujiongeza kujua mwanae anaishi vipi.

Inasikitisha sana.
 
Mpeleke kwenye mamlaka husika. Huyo jamaa anajua kila kinachoendelea na anakiunga mkono. Wiki mbili ni nyingi mno na lolote linaweza kumpata mtoto. Jitahidi kuokoa maisha ya hako ka malaika. Achana na huyo mshamba.

Amandla...
Asante mkuu kwa ushauri mzuri. Nitaufanyia kazi 🙏
 
Wabongomnapenda kujipendekeza na kuminf others business,kila mtu atulie kwake
 
Shukran sana mkuu. Mungu akubariki 🙏
 
Mtoa mada anaishi SA south Africa na amekaa huko muda Ila mnamwambia aende kwa Gwajima!
Asante kwa kuwafahamisha mkuu. Na mimi nimejitahidi kueleza kwa baadhi ya comment hapo chini, i hope waliosoma wameshaelewa.
 
Imebidi nirudie kusoma, nimeelewa sasa kumbe jamaa wawili ni watz wasioishi Tanzania OK OK, amrekodi atupie kwa mitandao
Na hapa kuna sheria zinazofanana na nyumban mkuu. Lakini hapa tulipo mtu kukutumia watu waje kuchukua roho yako ni sekunde tu.

So hii inanifanya nikubaliane na ushauri wa rafiki yetu kutukutanisha na kuliongelea swala hilo mbele yake. Maybe he will do something better to his son.
 
Aisee, pole sana. Ni kawaida kuwa hata wema una gharama zake (maumivu)
Zingatia ushauri wa mtu wa 3 (rafiki yenu), naamini Mungu atamfungua macho na atajua ukweli. Sasa hapo aibu kwake; sijui atakuombaje msamaha!
 
Ulichokosea ni kuzunguka sana kumjulisha mwamba juu ya hali ya mtoto wake, au basi tumia mamlaka za kiserikali waambie wasikutaje tu.

Una lengo zuri lakini unashindwa lifanyia kazi sawa sawa, fikiria kama jamaa angekuwa na silaha ya moto si angekuja kumiminia risasi za kutosha ufe kijinga Mkuu.?

Kuna mambo bora uka nyooka kiongozi usipite kona kona sio nzuri izo
 
Mama wa kambo wengi wana roho ya chuma. Why umtese mtoto wenzio. Next time unamchoma ustawi wa jamii wa deal naye perpendicularly.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…