Rafiki yangu Marry Diana, kama haupo kwenye ndoa naomba nikuoe

Rafiki yangu Marry Diana, kama haupo kwenye ndoa naomba nikuoe

Lakini kwa kuanza na wewe mwenyewe kuna baadhi ya mambo yapo wazi kwa macho na inahitaji kutumia hekima na busara.

Wakati amejipata nadhani uliona namna alivyokuwa mtovu wa nidhamu, unahisi akizipata tena hatokuwa na ile tabia.

Marry huitaji mwanaume ambaye atakupa sonona, unahitaji mwanaume ambaye atakuelewa kihisia kwa nyakati zote.
Nyie nishawagundua huenda mnanichora,kwaherini
 
Laaziz wewe kuwa na Amani, moyo wangu umekuchagua wewe ,nakupenda kama nyota ya zohari,kama upo serious na mm ubarikiwe ,kama unafanya masihara Mungu akuongoze ila mwenye kupitisha kila Azimio langu ni dadangu lamomy
♥️♥️♥️♥️♥️Wooow♥️♥️♥️♥️♥️
 
Laaziz wewe kuwa na Amani, moyo wangu umekuchagua wewe ,nakupenda kama nyota ya zohari,kama upo serious na mm ubarikiwe ,kama unafanya masihara Mungu akuongoze ila mwenye kupitisha kila Azimio langu ni dadangu lamomy
Sasa Dada Lamomy Ukishamaliza kuwaamulia hawa jambo lao chapu basi tumalize na la kwetu achna na hii hbar ya kuweka tomato kwenye chupsi na unajua sili tomato
 
Uhakikishe kila siku anapata supu ya sato kilo moja, matunda mchanganyiko, jioni umpatie mbuzi choma, pia awe anapulizwa na kiyoyozi; muhimu tu ngozi yake iendelee kung'ara.

Agalia sana usije ukamlishwa michembe na matoborwa 😀​
Asante sana mkuu, nitafata ushauri wako kwa asilimia zote ila michembe na matoborwa sivijui.
 
Asante sana mkuu, nitafata ushauri wako kwa asilimia zote ila michembe na matoborwa sivijui.
matoborwa.jpg
 
Back
Top Bottom