Rafiki yangu Marry Diana, kama haupo kwenye ndoa naomba nikuoe

Rafiki yangu Marry Diana, kama haupo kwenye ndoa naomba nikuoe

Hebu fafanua vizuri, nifikirie upya kivipi?
Kwa kijana masikini si chaguo sahihi?
angalia majibu yake yenye kibri, jeuri na kukosa adabu.

enzi hizo alizo pata mtonyo, ali dharau mpaka sisimizi.
Aka sahau mpaka chama Chetu cha ma jobless pro max.

Sasa hivi ana jisogeza kwako, kwakuwa hana hela. Ila aki zipata lazima uka kae na nguruwe wake.

dosho12, Selikavu, Razorblade, mwambie ukweli huyu binti
Screenshot_20250707-233057_1.jpg
 
Kwanini usifikirie upya juu ya uamuzi wako?

Upendo ni baina ya watu wawili wenye ukaribu kihisia, sikatai kuwa hata upendo wa mbali pia upo lakini nguvu yake ni ndogo kiasi cha kuvuruga amani iliyopo moyoni.
Screenshot_20250709_181641.jpg
 
Marry simu yangu inaisha chaji naenda kuweka betri kwenye kobe muda sio mrefu nitakukuta zingatia sana hili👇
View attachment 3399602
♥️♥️♥️❤️❤️❤️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Laaziz wewe kuwa na Amani, moyo wangu umekuchagua wewe ,nakupenda kama nyota ya zohari,kama upo serious na mm ubarikiwe ,kama unafanya masihara Mungu akuongoze ila mwenye kupitisha kila Azimio langu ni dadangu lamomy
 
Laaziz wewe kuwa na Amani, moyo wangu umekuchagua wewe ,nakupenda kama nyota ya zohari,kama upo serious na mm ubarikiwe ,kama unafanya masihara Mungu akuongoze ila mwenye kupitisha kila Azimio langu ni dadangu lamomy
Waswahili wanasema “Mkataa pema, pabaya panamuita”

Natumai dada yako Lamomy atakusaidia kukuongoza kwenye njia sahihi, naimani anatamani mdogo wake upate utulivu wa moyo, akili na mwili pia.
 
Sawa dadangu namkubali najua ataniongoza
Lakini kwa kuanza na wewe mwenyewe kuna baadhi ya mambo yapo wazi kwa macho na inahitaji kutumia hekima na busara.

Wakati amejipata nadhani uliona namna alivyokuwa mtovu wa nidhamu, unahisi akizipata tena hatokuwa na ile tabia.

Marry huitaji mwanaume ambaye atakupa sonona, unahitaji mwanaume ambaye atakuelewa kihisia kwa nyakati zote.
 
Back
Top Bottom