Rafiki yangu Marry Diana, kama haupo kwenye ndoa naomba nikuoe

Rafiki yangu Marry Diana, kama haupo kwenye ndoa naomba nikuoe

Ana stress ni kuhusu huu utelezi wako au urais!
Ni urais mkuu, mimi nilifungua uzi maalum nikaja na hoja zangu za msingi kwanini nakitaka kiti. sasa yeye badala afungue uzi kupangua hoja au aendelee kupangua hoja katika uzi ule yeye anakuja katika uzi huu, tena kwenye muda ambao chart zangu na Marry zimekolea, haya Marry amikimbia sasa afanye sherehe.
 
Ha haa hii ndo inaitwa propaganda unafanyiwa spining kote kote
kwa hyo unahisi kitumbua kimekimbizwa na RAIS!
 
Yule wa mochwari mkata magovi! Kosa lako ni kutaka kumpindua akiwa madarakani.
😂😂😂 kibaya ni kwamba hatambui huu ni muda ambao angepaswa kuonyesha busara ili kufanya watu wapuuze hoja zangu ila yeye ndio kwanza anazidi kuanika ujinga wake. Kuna mwanachama amevaana nae hapo juu, mimi nilikuwa namzoom tu.
 
Back
Top Bottom