Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
- Thread starter
- #121
Mimi nipo huku kusini mwa nchi sijafahamu uko wapi.Karibu sana,vipi tutaonana lini
Mimi nipo huku kusini mwa nchi sijafahamu uko wapi.Karibu sana,vipi tutaonana lini
Marry nakupa onyo, hilo Jamaa liki shika hela lita kuja kukutukana na kukukana.Karibu sana,vipi tutaonana lini
📌🔨Marry nakupa onyo, hilo Jamaa liki shika hela lita kuja kukutukana na kukukana.
Lina kibri, jeuri na dhulumati, angalia usije itwa kimbau mbau.
Mbaga Jr, dosho12, Selikavu, Edo kissy, BLACKTIGER, Smooth Criminal
View attachment 3399477
Tabata kinyereziMimi nipo huku kusini mwa nchi sijafahamu uko wapi.
Ohoo sawa, acha nijichange vizuri ili nikikuibukia ujue kwamba mume amekuja.Tabata kinyerezi
Karibu sana,karibuOhoo sawa, acha nijichange vizuri ili nikikuibukia ujue kwamba mume amekuja.
Mbona mnanichanganya sasa,au mnanienjoy eeeehMarry nakupa onyo, hilo Jamaa liki shika hela lita kuja kukutukana na kukukana.
Lina kibri, jeuri na dhulumati, angalia usije itwa kimbau mbau.
Mbaga Jr, dosho12, Selikavu, Edo kissy, BLACKTIGER, Smooth Criminal
View attachment 3399477
Jamani majina yote haya, hata laaziz linanitosha 😘Karibu sana,karibu
ila napata shida kukuita masikini,sa sijui itakuwaje
Sawa babe🤣Jamani majina yote haya, hata laaziz linanitosha 😘
Sawa, ukipata muda fungua uzi kutahadharisha watu waongeze heshima kwako nisije parurana na mtu hapa.Sawa babe🤣
Vp mkuu umeniita huku kwenye makopa kopaMarry nakupa onyo, hilo Jamaa liki shika hela lita kuja kukutukana na kukukana.
Lina kibri, jeuri na dhulumati, angalia usije itwa kimbau mbau.
Mbaga Jr, dosho12, Selikavu, Edo kissy, BLACKTIGER, Smooth Criminal
View attachment 3399477
Mkuu naona amejitangaza kuwa ni rais ajae wa chama chetu, unampango wa kuachia madaraka kwani?Ewe Marry Diana utakuwa ni mwehu uki kubali kuwa na hili jinga, likisha shiba ni full kutoa matusi na dharau kwa wenzie
Ona hapa lilivyo kuwa lina ropoka enzi likiwa na hela, sasa jichanganye uishie kupostiwa na mishumaa
View attachment 3397880
Msongo, msongo, msongo.Vp mkuu umeniita huku kwenye makopa kopa
shida nini au shida ni shida!
Kwishaa😂Marry nakupa onyo, hilo Jamaa liki shika hela lita kuja kukutukana na kukukana.
Lina kibri, jeuri na dhulumati, angalia usije itwa kimbau mbau.
Mbaga Jr, dosho12, Selikavu, Edo kissy, BLACKTIGER, Smooth Criminal
View attachment 3399477
Masikini jeuri, ebu tuone🙌Huyo ni kenge maji tu, tulimpa nafasi ya kuwa mwanachama wa ma jobless pro max aka ishia kuwa popoma mwitu.
dosho12, Edo kissy, Selikavu
View attachment 3399476
Wajumbe tulishakaa tukafikia maazimio mpaka 2030 ndo achukue fomuMkuu naona amejitangaza kuwa ni rais ajae wa chama chetu, unampango wa kuachia madaraka kwani?
Mkuu nimetoboa mkuu, huba limenoga sasa, ila kuna mtu kwa chuki zake binafsi ananirushia njiwa wangu.Mh! Nomadix napita niko palee!
Katika siku ambazo umenitenga ni leo mkuu, muoaji amefanya unisahau kijana wako 😂Marry nakupa onyo, hilo Jamaa liki shika hela lita kuja kukutukana na kukukana.
Lina kibri, jeuri na dhulumati, angalia usije itwa kimbau mbau.
Mbaga Jr, dosho12, Selikavu, Edo kissy, BLACKTIGER, Smooth Criminal
View attachment 3399477