Rafiki yangu Marry Diana, kama haupo kwenye ndoa naomba nikuoe

Rafiki yangu Marry Diana, kama haupo kwenye ndoa naomba nikuoe

Siku ukipewa mbususu ya Mary Diana; na hata kuruhusiwa kubeba mzigo jumla machozi yatakavyokububujika hata Lukasi Mwashambwa akasome wallahi 😂😂😂

IMG-20250415-WA0154.jpg
 
Kwanza niseme natanguliza heshima zote kwako best yangu Marry Diana.
Pengine utafurahishwa ama kuchukizwa na bandiko hili, siwezi kuzuia hisia zako lakini ninaweza kuzipooza kwa kusema neno Samahani.

Marry nimeona kitu cha ziada ndani yako, bila shaka tutafiti tukiwa pamoja tukipambana na hili gurudumu la maisha.

Marry nataka uwe mke wa Kijana Masikini rais ajae wa chama cha majobless pro max.

usizingatie porojo za yeyote atakae taka kudhoofisha hili jambo.

{{{Ilove you Marry Diana}}}
🤣🤣Hii nchi uhuru umezidi haya marry huko ulipo uje umjibu kijana wa hovyo
 
Back
Top Bottom