Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
- Thread starter
- #21
Mke na mume ni zaidi ya kudinyana mkuu.Kwahy mtakuwa kaka na dada?
Mke na mume ni zaidi ya kudinyana mkuu.Kwahy mtakuwa kaka na dada?
Mungu nifundishe kunyamazaUnaongea peke ako.....hadi raha
Na hili baridi la nchi nzima balaa tupuGenye mbaya sana aisee 🙌
Asante mkuu, baki hapa tumsubiri mlimbwende Marry, usisahau kuniombea anikubalie.Kafie mbele
🕴Acha ufala kijana, chama ulikiunda ?
Mbona unapenda kudandia vya wanaume wenzio??
Hujui ukiona vyaelea ujue vimeundwa,,
Upuuzi mtupu,
Asante mkuu nafurahi unapata raha kupitia ombi langu kwa Marry.Unaongea peke ako.....hadi raha
Vile una mambo ya kusema afu unajilazimisha kukaa kimya......Mungu nifundishe kunyamaza
Sawa mkuu.Na hili baridi la nchi nzima balaa tupu
Kimeumana Kimeumana 😹😹😹
🤣🤣🤣 jamaa anajikuta hawafu kwenye kila uzi anasahau hii ni vita ya maneno na technology.Kimeumana Kimeumana 😹😹😹
Mchina yupi, Kakuudhi nini?Marry Dikompoza ticha leo yupo job anapiga pindi, tumsubiri amalize aje nianze kucheka mana mchina kaniuzi leo..!!😹😹
Jamaa walikulamba ban kwa kosa gani? Naona umeweka risiti kwenye profileMungu nifundishe kunyamaza
Siwezi kufanya hivyo mpaka utumie I'd nyingn ileAsante mkuu, baki hapa tumsubiri mlimbwende Marry, usisahau kuniombea anikubalie.
eti kauli ya I still repeat, ndio chanzoJamaa walikulamba ban kwa kosa gani? Naona umeweka risiti kwenye profile
Kwamba hautakubali mwanaume yoyote azikwe bila kutahiriwa ukiwa unafanya kazi mochwari hilo ndo kosa la kupigwa ban?eti kauli ya I still repeat, ndio chanzo
ID ipi mkuu?Siwezi kufanya hivyo mpaka utumie I'd nyingn ile