Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
- Thread starter
- #61
Sawa Madam, ingekuwa zamani ningali tajiri ningewaita ndugu zangu waone hii comment ili waandae mipango haraka, lakini sasa nimebaki mwenyewe tu. Mungu atie heri ili nimpate huyu mrembo.umeshampata tayari, usisahau kutualika kula ubweche